Elections 2010 Kwani lazima ushindi wa kishindo?

Elections 2010 Kwani lazima ushindi wa kishindo?

valour

Senior Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
168
Reaction score
71
Wana JF, naomba nielimishwe, kwanini JK analazimishwa ushindi wa kishindo? Wabunge wa viti maalumu wanategemea kura za rais au za wabunge wa majimbo? Nimekuwa natafakari sana kuna umuhimu gani wa kupata ushindi wa kishindo ili hali watanzania wengi wanaona kwamba atashinda lakini sio kwa asilimia hizo anazolazimisha?
 
Kwa mwenye kupata ulinzi wa maruhani ni lazima!!
 
Back
Top Bottom