Mmekuwa ktk uhusiano kwa muda gani?,
Manake isiwe umekutana naye wiki iliyopita halafu wiki hii anataka ukamtambulishe kwenu.
Bado hajafikia sifa za mwanamke unayetaka ukamtambulishe kwenu?
Wewe knn hautaki kumtambulisha kwenu?, au kuna mwingine umemtambulisha tayari??,
AU
Hapo ni kivulini unapumzika tu?, safari ya kupenda wanawake wengine inaendelea?.
HUYO MSICHANA NAAMINI ANATAKA UHUSIANO USIO WA SIRI KATI YENU UJULIKANE HATA KWA FAMILIA ZENU.
PIA NAHISI NI MWAMINIFU NDIYO MAANA HATAKI PENZI LA KIFICHO.