kwani lazima?

kwani lazima?

dre

New Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
3
Reaction score
1
inakuaje msichana anakulazimisha kujitambulisha kwenu?
 
eeeh!!KWA HIYOO we nia yako ilikuwa kumchezeaa.mwezako anataka kujiwekaaaa
 
huyo msichana ni G'friend wko au mchumba? If yes c vbaya km utamtambulsha kwenu! Au umemwahid uongo ndo mana hutak ajtmbulshe? Ameksh2kia!
 
Si kwamba anakulazimisha, bali anajua nini maana ya kupenda...
 
Inakuaje wewe humtambulishi mpaka akulazimishe?
 
Umetumia vigezo gani kuhukumu kwamba kakulazimisha? kama kweli unampenda utajitambulisha pasi na shaka kakaa. Ondoa hofu anakuhitaji kwa maisha yake yote, je upo tayari? vinginevyo mwambie ukweli
 
Mmekuwa ktk uhusiano kwa muda gani?,
Manake isiwe umekutana naye wiki iliyopita halafu wiki hii anataka ukamtambulishe kwenu.
Bado hajafikia sifa za mwanamke unayetaka ukamtambulishe kwenu?
Wewe knn hautaki kumtambulisha kwenu?, au kuna mwingine umemtambulisha tayari??,
AU
Hapo ni kivulini unapumzika tu?, safari ya kupenda wanawake wengine inaendelea?.

HUYO MSICHANA NAAMINI ANATAKA UHUSIANO USIO WA SIRI KATI YENU UJULIKANE HATA KWA FAMILIA ZENU.
PIA NAHISI NI MWAMINIFU NDIYO MAANA HATAKI PENZI LA KIFICHO.
 
ingebidi ushukuru mkuu kuliko kulalamika. Ni wazi kuwa anatarajia yaliyo mema juu yenu. Uwanja ni wako kuamua sasa kuliko kumpotezea muda
 
Ukiona hivyo ujue ameoshaongopewa sana na wajanja huko nyuma, sasa amekuona wewe Kilaza ndo maana atakata kukaba mpaka penalt.
 
lakini inawezekana mwanzo ulimwambia utamuoa sasa wewe ulikuwa unataka ku duuu mzee kama vp fanya kama anavotaka au tupa kule...
 
:love:moyoni mwake ameshakuona kuwa unafaa kuwa mwenza wa maisha thats why anahitaji kufahamika na wanaokuhusu, wala si nia mbaya kama nawe una malengo mazuri bt kama hauna mpango nae inasababisha wewe kuona kama anakulazimisha!!!
 
Kwetu sisi (kabila letu) msichana kwenda kwa mume mtarajiwa na kujitambulisha ni aibu! Badala yake mwanaume anatakiwa kwenda kwao na mke mtarajiwa kujitambulisha.
Kama msichana anakulazimisha kuja kwenu kujitambulisha, huyo tupa kuleeeeeeee!
 
kama hutaki kujitambulisha basi huna mapenzi ya kweli
yani in short we humfai..ye ni wa long term zaidi si wa kuchezea.simpo
 
me naona nikutojiamini kwa hyo mrembo wako au kunaki2anakifanya kisicho sawa..
 
Hataki kuchezewa na kuachwa,siri ya nini?
 
kama muda umefika ni vizuri mkamilishe mambo kuliko kupotezeana muda yeye anaona alichokitarajia kinaelekea Labda anaona unalegeza kamba ndo maana anataka mabo yakamilike
 
Back
Top Bottom