Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Hamchekani na hao baby walkers maana hata Carina yenyewe kwny mambio ni hamna kitu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Carina toka lini umeiona inafanya league barabarani?. Tufanye safari ya mbeya-dar na ist yako mimi na carina yangu utaiona itakayochemsha njiani

Mtu anayejua magari lazima ataheshimu carina au collora
 
Carina toka lini umeiona inafanya league barabarani?. Tufanye safari ya mbeya-dar na ist yako mimi na carina yangu utaiona itakayochemsha njiani

Mtu anayejua magari lazima ataheshimu carina au collora

Hahah IST/Carina/Collora tena?No wonder baby walker zinaendelea kuku-challenge huko barabarani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanapenda sana ligi
IMG-20190119-WA0016.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carina si mbaya...usipokuwa makini inakuacha
Waendeshaji wa magari kama premio,carina,corrolla,spacio na allion hawana league na mtu barabarani sisi sikuzote tunapenda tufike safari zetu salama lakini wenye I.s.t na passo ni mapepe barabarani na wengi wao ni wageni wa magari na bado hawajui kuendesha vizuri magar yao
 
Back
Top Bottom