Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasave vipi pesa usiyonayo ?Akili za kitoto kweli, hivi kama speed limit ni 80 why ninunue gari la 3500cc and you can achieve milage at lower cost kwa kuitumia baby walker. Ni akili mgando ndo maana hatuendelei always save,save save save katika kufanya mambo yako. Is not prestige kuendeshagari kubwa huku ukiwa maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aliesema Vits sio gari?Mtoa Maada ngoja ni kwambie nitu,ukiwa na nyumba yenye room moja na sebule unahesabika una nyumba na mwenye ghorofa naye tunasema ananyumba,mwenye semi anagari na mwenye Vitz anagari huwezi sema ana baiskeli,kama wewe umebarikiwa kununua Hammer mshukuru Mungu naye mwenye Vitz/ Stalet naye anamshukuru Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sms-short man syndromeNi kama walivyo wanaume wafupi...vinafujo, vibishi kila saa vinahisi vinadharauliwa..
Ndivyo ilivyo kwa madereva wa baby walker wanahisi wanadharauliwa na wenye mafuso
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kitoto kweli, hivi kama speed limit ni 80 why ninunue gari la 3500cc and you can achieve milage at lower cost kwa kuitumia baby walker. Ni akili mgando ndo maana hatuendelei always save,save save save katika kufanya mambo yako. Is not prestige kuendeshagari kubwa huku ukiwa maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ni new drivers. Wanashangaa kuona kigari kidogo lakini kina mbio. Vile wanaona daladala na gari nyingine kubwa haziendeshwi mbio mara nyingi.Hivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
Hawaruhusi waendeshe tu kawaidaHa ha ha kwahio hawatakiwi kuwa na mbwembwe