Huna unachojua unajichanganya tu lisu anazichanganya sheria anawachanya na nyie poleni.MI bado naona mahakama imebugi kiaiana.CDM wana kesi nyingine za kumfukuza , kwani charge yake inasemaje.Anaweza fukuzwa kwa kesi ingine ili akishinda y amahakama awe kafukuzwa na ingine.So akaishia jifurahisha tuu.
Huna unachojua unajichanganya tu lisu anazichanganya sheria anawachanya na nyie poleni.
Usiwe km hujui unachotaka kificha.....Mahakama imesimamisha issue fulani,ila haijamsimamisha zitto kufanya makosa mengine yanayotakiw ahukumiwa tofauti..imagine kampiga kiongozi wa CDM au kuvunja kipengele kingine kinachoweza mfukuza uanachama....mahakama itaendelea mkingia kifua kwa misingi ile ile?What if anaua ...mashiatak mengine ayatasimamishwa?Wapo watu wanafanya makosa mahakama inawapa dhamana, wanakwenda kose atena wanachapwa ndani na kutokea huko huko kuhudhuria kesi nyingine...Sitaki kukuponda ka wachangiaji wengine wanavyofanya kwenye hayo majukwaa ya kupondana. Ila mdau naona umefanya trespass ebu huu uzi wako peleka jukwaa la siasa otherwise edit maneno yako yakae kisheria ndio ulete huku maana hueleweki hata umeandika vitu gani
Usiwe km hujui unachotaka kificha.....Mahakama imesimamisha issue fulani,ila haijamsimamisha zitto kufanya makosa mengine yanayotakiw ahukumiwa tofauti..imagine kampiga kiongozi wa CDM au kuvunja kipengele kingine kinachoweza mfukuza uanachama....mahakama itaendelea mkingia kifua kwa misingi ile ile?What if anaua ...mashiatak mengine ayatasimamishwa?Wapo watu wanafanya makosa mahakama inawapa dhamana, wanakwenda kose atena wanachapwa ndani na kutokea huko huko kuhudhuria kesi nyingine...
Sasa km unadhani si ya kisheria kwanini jasho linakutoka hapa?Km una akili kuliko walioacha bila kuchangia mbona jasho lonakutoka?Utaongeleaje siasa ktk sheria bila kuongelea sheria? Ujuaji wa wabongo karibu ufanane na wawakenya viherehere....Mkuu Nicholas habari yako, Ebu kwanza jifunze kutokuendeshwa na hisia unapojadili mambo, pengine ndio maana unakosea kosea maneno yako. Mkuu mimi sipo hapa kukuhukumu kama ulichooandika ni sawa au sio sawa mi nimejikita kwenye maudhuhi ya huu uzi wako je uko katika misingi ya kisheria, hivyo ni haki kukaa jukwa la sheria..? jibu liko wazi kabisa HAPANA mpaka dakika hii bado tu unaongea siasa mkuu hakuna chembe ya sheria katika uzi wako, kutaja maneno MAHAKAMA, SHERIA au DHAMANA sio kigezo cha kuufanya uzi huu uwe wa kisheria. USHAURI WA BURE: uzi huu ungekuwa na mashiko sana na ungepata wachangiaji wengi endepo ungewekwa jukwa sahihi "jukwa la Hoja na Habari Mchanganyiko " au "Jukwaa la Siasa" period.