Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
MI bado naona mahakama imebugi kiaina.CDM wana kesi nyingine za kumfukuza , kwani charge yake inasemaje.Anaweza fukuzwa kwa kesi ingine ili akishinda ya mahakama awe kafukuzwa na ingine.So akaishia jifurahisha tuu.Km mahakama imesafikisha barua kwa CDM inatwakuwa inajulikana mipaka ya mahakama.Km ni ktk mahiatka aliyopewa ni wazi CDM wanaweza mfukuza na mengine hata kwa kumpa barua nyingine ya kufika j4 asubihi.Aijitete kuwa hakuwepo CDM imuulize alikuwa wapi km kiongozi w achama bila taarifa rasmi kwa chama?