Kwani maisha bila Ubunge huwezi kuishi? Mbunge kwa miaka 25? Usiwe kupe

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,070
Reaction score
726
MBUNGE MIAKA 25? USIWE KUPE

1995​
Teddy Kilenza Magayane-CCM 61%Daniel Nsanzugwanko NCCR 33%
2000​
Michael Mussati-CCMCCM haikurudisha jina la Nsanzugwanko
2005​
Daniel Nsanzugwanko –CCM 56.1%Agripina Buyogela-NCCR 38.4%
2010​
Agripina Buyogela-NCCR (54.58%Daniel Nsanzugwanko –CCM 38%
2015​
Daniel Nsanzugwanko –CCM
2020​
Prof. Joyce Ndalichako VS Daniel Nsanzugwanko

Ndugu yetu Mheshimiwa Daniel Nsanzugwanko amekuwa akipambana kupata ubunge tangu 1995, Mwaka 2010 alikosa ubunge maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba mikopo aliyochukua bank ulimfikisha pabaya kiasi cha kuuza Nyumba yake pale Kasulu. Inaonekana nje ya ubunge maisha hayawezi.

Jimbo la Kasulu Mheshimiwa Prof. Joyce Ndaliachako anaonekana kutia nia hivyo kumnyima usingizi. Juzi alisikika Nsanzogwanko akilalamika eti miradi ya elimu iliyopelekwa jimboni kwake ni mipango ya Serikali na siyo Mtu anaejipitisha eti katika jimbo lake, nani amesema Nsanzugwanko ndiyo mwenye hati milki ya ubunge wa jimbo la Kasulu?

Pia, alisikika Mheshimiwa Obama Mbunge wa Buhigwe-Kasulu akilalamika eti kuna mtu anajitisha katika jimbo lake (akimaanisha Mheshimiwa Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango) alietangaza kutia nia kugombea jimbo hilo. Obama alibweka bungeni akilalamikiwa kuvamiwa jimboni.

Huu ni mfano kwa majimbo mengi hapa nchini baadhi ya wabunge kuona kwamba watanzania wengine hawatakiwi ya kugombea majimbo yao. Kwa mfano Mheshimiwa Daniel Nsanzugwanko amekuwa katika harakati za ubunge kwa miaka 25 sasa huku jimboni kwake hakuna jipya.

Amekuwa akionekana active akichangia wakati kama huu ili aonekane jimboni kwake. Aliwahi kuwapiga makofi/vibao wananchi waliompokea kwa madumu ya maji kama ishara ya kuonyesha kero waliyonayo. Sasa ni wakati wa wabunge kama hawa kuacha demokrasia iamue mbunge anaefaa kuwatumikia wananchi.
 
Kwa hizo laps lazima mafao yapotelee kwenye harakati. Yani mbunge aliyekaa mfululizo miaka 10 ana afadhali kuliko mbunge ambaye gari linakata kata wese kwenye uchaguzi hata akae miaka 20 bungeni hutoona mafanikio yake.
 
Mbaya zaidi anaona wagombea wengine ni threat kwake.
 
MBUNGE MIAKA 25? USIWE KUPE

1995​
Teddy Kilenza Magayane-CCM 61%Daniel Nsanzugwanko NCCR 33%
2000​
Michael Mussati-CCMCCM haikurudisha jina la Nsanzugwanko
2005​
Daniel Nsanzugwanko –CCM 56.1%Agripina Buyogela-NCCR 38.4%
2010​
Agripina Buyogela-NCCR (54.58%Daniel Nsanzugwanko –CCM 38%
2015​
Daniel Nsanzugwanko –CCM
2020​
Prof. Joyce Ndalichako VS Daniel Nsanzugwanko

Ndugu yetu Mheshimiwa Daniel Nsanzugwanko amekuwa akipambana kupata ubunge tangu 1995, Mwaka 2010 alikosa ubunge maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba mikopo aliyochukua bank ulimfikisha pabaya kiasi cha kuuza Nyumba yake pale Kasulu. Inaonekana nje ya ubunge maisha hayawezi.

Jimbo la Kasulu Mheshimiwa Prof. Joyce Ndaliachako anaonekana kutia nia hivyo kumnyima usingizi. Juzi alisikika Nsanzogwanko akilalamika eti miradi ya elimu iliyopelekwa jimboni kwake ni mipango ya Serikali na siyo Mtu anaejipitisha eti katika jimbo lake, nani amesema Nsanzugwanko ndiyo mwenye hati milki ya ubunge wa jimbo la Kasulu?

Pia, alisikika Mheshimiwa Obama Mbunge wa Buhigwe-Kasulu akilalamika eti kuna mtu anajitisha katika jimbo lake (akimaanisha Mheshimiwa Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango) alietangaza kutia nia kugombea jimbo hilo. Obama alibweka bungeni akilalamikiwa kuvamiwa jimboni.

Huu ni mfano kwa majimbo mengi hapa nchini baadhi ya wabunge kuona kwamba watanzania wengine hawatakiwi ya kugombea majimbo yao. Kwa mfano Mheshimiwa Daniel Nsanzugwanko amekuwa katika harakati za ubunge kwa miaka 25 sasa huku jimboni kwake hakuna jipya.

Amekuwa akionekana active akichangia wakati kama huu ili aonekane jimboni kwake. Aliwahi kuwapiga makofi/vibao wananchi waliompokea kwa madumu ya maji kama ishara ya kuonyesha kero waliyonayo. Sasa ni wakati wa wabunge kama hawa kuacha demokrasia iamue mbunge anaefaa kuwatumikia wananchi.
Ukweli mtupu kule hanang' Mary Nagu ni mbunge toka nipo primary,mpaka leo Nina mjukuu,yupo tuu(in makongoro's voice) na bado juzi kasema atarudi,,,tumewachoka hawa watu,
 
Na mzee wa vijisenti je? Aliingia bungeni kama mwanasheria mkuu wa serikali mwka 1993 kabla hajaachana na nafasi hiyo na kuendelea na kugombea ubunge.
 
Mshino umeandika kwa niaba ya Ndalichako au?
Mtaacha lini siasa za kuchafuana?
Nsanzugwako ni haki yake ya kikatiba kugombea hata wewe nenda kachukue fomu acha wivu wa kike
 
Tatizo wanachukua mikopo mikubwa sana na wanajiendekeza life ya juu sana

Ananuna gari milioni 100 angeweza vuta used tu za hapo japani na kuzibadilisha kila ikichoka

Kuna Gari zinahimili safari ndefu Kama kluger,Suzuki ,escudeo grand Vitara ,hata Alphard nzuri na za dizaini hio Sasa unakuta jamaa kavuta VX v8 halafu ikifika kipindi Kama hiki kichwa kinauma

Gari inakula mafuta ,kampeni za kuchaguliwa upya zinatka hela za waganga ,kuhonga nakadhalika

Matokeo yake kiinua mgongo chote kinafyekelewa huko .

Ana mikopo ya miradi ya ajabu ajabu haiingizi faida yeyote

Ndio maana hawaachi kugombea Tena na Tena unakuta alichovuna kwa miaka 5 anaenda poteza katika hii miezi 3 ijayo Hasa kwa wale wanaohemea ubunge tu .

Miaka 5 inatosha sana kutusua kwa mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Miaka 5 inatosha sana kutusua kwa mbunge ".
Unachagua mbunge ili akatusue!!??
Unagombea ubunge ili utusue!!!???
Mwakilishi wa wananchi ni nani!!???
 
Pia Kuna kutusua ndani yake we unadhani wanasukumwa na hicho unachowaza wewe [emoji3][emoji3][emoji1787]pole sana

Ubunge una ulaji asikuambje mtu

Hizo slogan za kutetea wananchi na kijikazi uchwara Cha kusiriba ulaji uliopo ndani yake

We hujawahi jiuliza mbunge Ni kasulu huko lakini anaishi dar why kwanini asikae na wananchi wake jimboni

Wananchi mkae na shida zenu yeye anakula upepo mbezi beach akifika bungeni anasisinzia akishtuka anagonga meza na kusema ndiyooooo!! Anasaini posho huyo zake mnadani kula nyama nyie mpambana na madumu ya maji huko kwenye kilimahewa[emoji1787][emoji1787]

Ubunge tunaangalia maslahi sio hayo mawazo yako[emoji1787][emoji1787][emoji123]

Ni ukweli mtupu. Mzee chenge,job ndugai, na wengine tangu mkapa wapo Tu.
 
Back
Top Bottom