Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Chama cha Mapinduzi ni chama cha siasa, lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia kutokana na historia inavyojionyesha huko nyuma,
Kuna baadhi ya Wabunge wake waliofariki kwenye majimbo yao na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao.
Mf; Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey - Mpendae
Goodlucky Mlinga - Ulanga Mashariki
Geofrey Mgimwa - Kalenga
Wote hawa wazazi wao walikuwa ni wabunge katika majimbo hayo na watoto nao wakawa Wabunge katika majimbo hayo.
Na sasa ni mtoto wa Jenista Mhagama aitwaye Victor Mhagama ambaye ameomba kuteuliwa na chama hicho kugombea Ubunge jimbo la Peramiho.