Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Kuna ulazima wabebwe?.Nonsense ni ufalme huo?
Hiki chama ni cha viongozi tu wamachama wa kawaida wanatumika kama punda tu.Chama cha Mapinduzi ni cha siasa lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia ktokana na historia
Kuna baadhi ya Wabunge waliofariki wakiwa Wabunge na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao mf:
Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey - Mpendae
Goodlucky Mlinga - Ulanga Mashariki
Geofrey Mgimwa - Kalenga
Wote hawa wazazi wao walikuwa ni wabunge katika majimbo hayo na watoto nao wakawa Wabunge katika majimbo hayo.
Na sasa ni mtoto wa Jenista Mhagama aitwaye Victor Mhagama ambaye ameomba kuteuliwa na chama hicho kugombea Ubunge jimbo la Peramiho.
Chama Cha kikomunistiChama cha Mapinduzi ni cha siasa lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia ktokana na historia
Kuna baadhi ya Wabunge waliofariki wakiwa Wabunge na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao mf:
Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey - Mpendae
Goodlucky Mlinga - Ulanga Mashariki
Geofrey Mgimwa - Kalenga
Wote hawa wazazi wao walikuwa ni wabunge katika majimbo hayo na watoto nao wakawa Wabunge katika majimbo hayo.
Na sasa ni mtoto wa Jenista Mhagama aitwaye Victor Mhagama ambaye ameomba kuteuliwa na chama hicho kugombea Ubunge jimbo la Peramiho.
Kama ni Mtanzania na anakidhi sifa na vigezo, why not?.Chama cha Mapinduzi ni cha siasa lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia ktokana na historia
Kuna baadhi ya Wabunge waliofariki wakiwa Wabunge na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao mf:
Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey - Mpendae
Goodlucky Mlinga - Ulanga Mashariki
Geofrey Mgimwa - Kalenga
Wote hawa wazazi wao walikuwa ni wabunge katika majimbo hayo na watoto nao wakawa Wabunge katika majimbo hayo.
Na sasa ni mtoto wa Jenista Mhagama aitwaye Victor Mhagama ambaye ameomba kuteuliwa na chama hicho kugombea Ubunge jimbo la Peramiho.
No reform No electionCha msingi kukata mzizi, kura wapigiwe wapinzani kwenye hilo jimbo. Problem solved!
Sawa sawaMkataba Mwitongo ndio unataka hivyo
Chama cha Mapinduzi ni cha siasa lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia ktokana na historia Kuna baadhi ya Wabunge waliofariki wakiwa Wabunge na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao mf: Omary Abdallah Kigoda - Handeni Salum Turkey - Mpendae Goodlucky Mlinga - Ulanga Mashariki Geofrey Mgimwa - Kalenga Wote hawa wazazi wao walikuwa ni wabunge katika majimbo hayo na watoto nao wakawa Wabunge katika majimbo hayo. Na sasa ni mtoto wa Jenista Mhagama aitwaye Victor Mhagama ambaye ameomba kuteuliwa na chama hicho kugombea Ubunge jimbo la Peramiho.
Chama cha Mapinduzi ni cha siasa lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia ktokana na historia