Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

Yule mnaigeria alikuwa nae...sasa ngoja tuone kama dau lake litashuk au litapanda!
 
Hivi hili balaza la wasanii ila huyu Sanchi sijui kama ni msanii naona kapata Umaarufu kwa wezele lake huwa wanatoa adhabu kali kweli naona siku hizi imekuwa fasheni kuonesha k
Hawapewi adhabu, wanajisevia na wao maisha yanaenda.... kwa hizi videos wala asije akasema kuna mtu kavujisha, amezivujisha mwenyewe ili soko lipande, ila sasa khaa angejaribu walau kujiedit kama afanyavyo huko Insta.
 
Back
Top Bottom