Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

.
tapatalk_1575037197167.jpeg
tapatalk_1575036143711.jpeg
 
Naona kuna mission ya kuwakomesha wadada wa town wanaoringia uzuri na maumbo.. vita ya panzi furaha kwa kunguru endeleeni kumwaga mchele tu walalahoi tupate kuona japo kwa mbali... Naunga mkono hizi harakati
 
Aisee ule ute ute utadhani wa bamia changa aisee goma lina ute unavutika balaaa
 
Kweli kimenuka. Hata kuisoma shida kabisa kwani nimefunga pua na mdomo nakosa hewa mazee
 
Ni huyu ama? Nasikia amekanusha
 
Back
Top Bottom