Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Kawaida wazazi wakienda kwa mganga kutafuta mtoto huyo anaezaliwa huwa si mtoto kamili..una laana wewe ni mtoto wa mganga shenzi kabisa
We bwege kwelikweli. Ukutane na mimi? Mi huwa sichukuagi watoto wa kiume fala we.
Afu soma uelewe son wa b*tch
 
Mmh povu lote hilo kwa sentensi ndogo tu. Meza wembe bibie ndo nshaandika haifutiki hio
Kakosea wapi? Hata wamarekani wanasemaga hivyo.
Kuna lugha ambazo sio official lakini zinatumika. Hata kiswahili tunakiharibu sana lakini tunaelewana.
Mondi hajakosea.
 
Kawaida wazazi wakienda kwa mganga kutafuta mtoto huyo anaezaliwa huwa si mtoto kamili..una laana wewe ni mtoto wa mganga shenzi kabisa

Afu soma uelewe son wa b*tch

We lofa tu. Wakikuingiza huwa unakatika? You people ni bure kabisa. Yaani unatoa mbwa kabisa?
 
Mmh povu lote hilo kwa sentensi ndogo tu. Meza wembe bibie ndo nshaandika haifutiki hio
Hakuna povu hapo.
Nimekuelewesha uelewe kuwa mondi hajakosea ni lugha inayotumika na inaeleweka.
Ulitakiwa utetee hoja yako kwa kuonyesha makosa ya mondi.
Kama kitu huna uhakika nacho usikosoe kwa maconfidence yote.
Sipo hapa kusutana.
 
Kama ni hivyo pita kuleee,nimeshaandika hivyo
Hakuna povu hapo.
Nimekuelewesha uelewe kuwa mondi hajakosea ni lugha inayotumika na inaeleweka.
Ulitakiwa utetee hoja yako kwa kuonyesha makosa ya mondi.
Kama kitu huna uhakika nacho usikosoe kwa maconfidence yote.
Sipo hapa kusutana.
 
Mondi na hata hao maniga wa usa wote hawapo sahihi bali ni uhuni tu wa makusudi na ujerky. Hivi angetype tu "Thanks to God. I've bought helicopter" tusingejua kama amenunuliwa hiyo kitu na mzungu kichaa?
 
kazidi majigambo ya kipuuzi, kuna wanamziki wakubwa sana zaidi yake lkn hawana majigambo ya kishamba kama yake.
asipo jirekebisha anaelekea pabaya, anatakiwa abadilike asikubali kushauriwa vibaya, anatakiwa atambue kuwa yeye ni staa mkubwa hivyo watu wengi wanamtizama yeye na kujifunza kutoka kwake.
 
Sasa hapo mkuu majigambo yako wapi?
 
Kawaida wazazi wakienda kwa mganga kutafuta mtoto huyo anaezaliwa huwa si mtoto kamili..una laana wewe ni mtoto wa mganga shenzi kabisa

Afu soma uelewe son wa b*tch
Tafuteni mahali mkatukanane sio kwenye Uzi wangu
 
okay ni hivi . katika mambo ya grammer kwenye kiingeeza huwezi sema
i bought me a helicopter au
I'm going to buy you a helicopter
- hizi sentensi hapo juu zina grammatical errors ingawa mesegi yake ipo wazi na inaeleweka vzr tu

Sasa basi kwanini mond kasema ili kuwa waiga jamii ya wamarekani weusi ambao hupendelea kusema hivyo.
Historia
Jamii ya watu weusi waishio marekani wanamovement yao ambayo kimsingi wanataka jamii ya watu weusi (america -blacks ) wawe tofauti na jamii ya watu weupe . Na utofauti huo wanataka uanzie

-Uvaaji
-Uongeaji
Hapa kwenye uongeaji ndyo nataka nipazungumzia haswaa. Katika uongeaji jamii hii imeanzisha lugha isiyo rasmi inayoitwa ibonic language ni lugha isiyo lasmi kwasababu inaongelewa sanaa na wamarekani weusi lakini bunge la marekani bado halijaitambua lugha hii . Lugha hii ni lugha ya kiingeeza ambayo wameamua kwa makusudi kabisa kubadilisha mifumo ya lugha ya kiingeeza ili kujitofautisha na jamii ya watu weupe .
Mfano.
1) Imma call you tonight
- Lemme Call you tonight
-He ain't my type
- i don't go no where today .(mfumo unaohusisha matumizi ya double negative ) katika sentisi moja

Katika lugha ya kiingereza hamna kitu kama hichi ni kosa kusema hivi lakini jamii ya watu weusi hutumia imma badala ya i 'm going to ili tu kujitofaitisha na jamii ya watu weupe hivyo hapo ilibidi iwe
-I'm going to call you tonight.
-I don't go no where today badala ya
  • I don't go anywhere today
  • he aint my type badala ya he is not my type
Mfano 2.
imma buy you a nice car .
- buy you ilibidi iwe i'm going to buy a nice car for you. Lakin jamii ya watu weusi hupendelewa kusema hivyo ili kuepuka hii kauli "you speak white " kutoka kwa wenzao weusi .
 
hio ni american english sifa kuu ni ungrammatical , Tz watu wengi wanafundishwa british english yupo sawa
 
Back
Top Bottom