johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Leo ndio amekuwa kapuku?Chadema ilikuwa tayari inayo mipango yote ya fukara Mwambe kabla hata hajaipanga , mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuripoti humu jf tarehe ya Kapuku Mwambe kurudi ccm , angalia uone
Tumeandika humu tangu kitambo tu, endelea kutufuatilia.Leo ndio amekuwa kapuku?
wanawekwa ndani, as if kunasiku kutafanyika mtihani na hakutakuwa na shule ya mwisho.Tuko busy kuwaweka ndani wakuu wa shule waliofelisha. Ile kudili na wakuu wa shule, huku noti zinapigwa usipime!?
Na David Silinde je?Tumeandika humu tangu kitambo tu , endelea kutufuatilia
Ni kwasababu wnaenda Morogoro.Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
aondoke hata kesho asubuhiNa David Silinde je?
Kuna siku hapa A twn tumesimamishwa ghafla magari hayaendi, mara tukaona mapikipiki na ma landcruiser...kuulizia ulizia eti ni Mr slow anapita.
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Mkuu haya yapo kote ,na Ni matokeo ya Utawala,na Awamu hii imekuwa maradufu!Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
MMM huyu wa leo ,amekuwa wa Kichina!Mzee ni lini utaanzisha uzi wenye kichwa mithili ya kama hiki: Kwani Ikulu ya Tanzania kuna tatizo gani ? Raia wa Tanzania na Raia Wengi wa Mataifa Mengine Wamelalamikia Uadilifu na Utendaji Kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam lakini bado Rais aliyemteua Hajachukua Hatua yeyote Stahiki. Vinginevyo, tuambie tu kwamba wewe huna tofauti na propagandist mwingine yeyote ambaye yupo kwenye payroll ya CCM kwa kuanzisha uzi huu. Unajaribu kuwatoa Watanzania kwenye mada za muhimu zaidi ambazo hazijapatiwa majibu.
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Nimesema Mapikipiki ila ninamaanisha boda boda, na mabendera yao wameyafunga nyuma.Mikoani mnaonewa sana ! Polepole si wa kupishwa njia , hana hadhi hiyo
Mpelekeni Mh.Sumaye akawe Mkuu wa MkoaSijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti wanalalamikia au kuibua matumizi mabaya ya fedha au usimamizi mbaya wa fedha. Kuna watu hadi waliondolewa lakini inaonekana kama Moro - Mji Kasoro Bahari - unaonekana kuwashinda au kushindwa!
Kuna tatizo gani Morogoro? Labda hata mikoa mingine hali iko hivyo lakini kutajwa kwa Morogoro mara kwa mara ni lazima kuwafanye watu wajiulize "kunani'?
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM