amizing chid
Member
- Aug 21, 2017
- 8
- 4
Imekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!! Umegonga pale pale, nimepata mjukuu yapata wiki mbili sasa yaani usiku hatulali.Wajuzi wa mambo haya hebu njooni mtusaidie.Imekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo babuAisee!!! Umegonga pale pale, nimepata mjukuu yapata wiki mbili sasa yaani usiku hatulali.Wajuzi wa mambo haya hebu njooni mtusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjaniImekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wachawi tu or as such anga limejaa roho nyingi za kutisha sana
mshanar jrChukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Amuangalie kwa makini tatizo linakua no tumbo kuuma binafsi niliangaika hosptl nikachemka ila nikaja kupata Tiba ya kienyeji tena bure kabisa nilipewa mzizi mmoja nichemshe kabla ya kumpa mtoto nilikaa nao Siku mbili nikishauliana na Mke wangu maana alie tupa alikua hatumuamini ila baada ya mkumpa Ali lala MD mrefu na ndio ikawa mwisho was tatizoImekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu mara nyingi tatizo ni tumbo, japo yapo mengine yanayoweza sababisha kulia.Amuangalie kwa makini tatizo linakua no tumbo kuuma binafsi niliangaika hosptl nikachemka ila nikaja kupata Tiba ya kienyeji tena bure kabisa nilipewa mzizi mmoja nichemshe kabla ya kumpa mtoto nilikaa nao Siku mbili nikishauliana na Mke wangu maana alie tupa alikua hatumuamini ila baada ya mkumpa Ali lala MD mrefu na ndio ikawa mwisho was tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe utakuwa mngoni ama mmatengo,,,,maana hao ndo wana imani hizoWengine hulilia majina
time will tell