Kwani mtoto chini ya mwezi mmoja huwa analia sana

Kwani mtoto chini ya mwezi mmoja huwa analia sana

Amuangalie kwa makini tatizo linakua no tumbo kuuma binafsi niliangaika hosptl nikachemka ila nikaja kupata Tiba ya kienyeji tena bure kabisa nilipewa mzizi mmoja nichemshe kabla ya kumpa mtoto nilikaa nao Siku mbili nikishauliana na Mke wangu maana alie tupa alikua hatumuamini ila baada ya mkumpa Ali lala MD mrefu na ndio ikawa mwisho was tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto anapolia anakupa taarifa kuwa mwilini hayuko sawa.

Mtoto kama ana afya nzuri na hakuna kinachomsumbua mwilini hawezi kulia hovyo hovyo labda kama analia kimila kuwa anataka kupelekwa kwa bibi au babu yake( hii mara huwa inatokea kwa waliotelekezaga wazazi wao na wamezamia mijini sasa amepata mtoto, anajikuta mtoto analia tu lakini haumwi chochote ndio pale unashauliwa mpeleke nyumbani)
ila tumbo ni gesi unatakiwa umfanyie mtoto massage ya tumbo .. mlaze kwa tumbo ila uwe makini sababu watoto wengi hufa kwa namna hii ya kulaza wanapo jigeuza na kushindwa kugeuka vizuri na kukosa pumzi
 
Mvuje ni nn wajameni[emoji50][emoji50]hua naon watoto wamefungwa vitu vyeusi mkononi au kiunoni..naomba kujua mvuje ni nn hasa kinachofungwa kwenye hivo vitambaa vyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom