Kwani mtoto chini ya mwezi mmoja huwa analia sana

Imekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?

Sent using Jamii Forums mobile app
Amuangalie kwa makini tatizo linakua no tumbo kuuma binafsi niliangaika hosptl nikachemka ila nikaja kupata Tiba ya kienyeji tena bure kabisa nilipewa mzizi mmoja nichemshe kabla ya kumpa mtoto nilikaa nao Siku mbili nikishauliana na Mke wangu maana alie tupa alikua hatumuamini ila baada ya mkumpa Ali lala MD mrefu na ndio ikawa mwisho was tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu mara nyingi tatizo ni tumbo, japo yapo mengine yanayoweza sababisha kulia.
 
Mtoto anapolia anakupa taarifa kuwa mwilini hayuko sawa.

Mtoto kama ana afya nzuri na hakuna kinachomsumbua mwilini hawezi kulia hovyo hovyo labda kama analia kimila kuwa anataka kupelekwa kwa bibi au babu yake( hii mara huwa inatokea kwa waliotelekezaga wazazi wao na wamezamia mijini sasa amepata mtoto, anajikuta mtoto analia tu lakini haumwi chochote ndio pale unashauliwa mpeleke nyumbani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…