Ina ukali kama kitunguu saumuMama alikua anatumia vicks ii unasemaje mi sikumwelewa
Lazima iwe kitambaa cheusi?Mkuu chukua mvuje uufunge kwenye kitambaa cheusi umfunge mkononi...jaribu mvuje unasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuu chukua mvuje uufunge kwenye kitambaa cheusi umfunge mkononi...jaribu mvuje unasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kitambaa cheusi bali hiyo ni itikadi tu niliyoionaLazima iwe kitambaa cheusi?
Mshana uliwahi kusikia kuwa mvuje unamkinga mtoto kwa viumbe vibaya?..maana naona humu watu wanaona ni jipya kwao wanabakia kushangaa tu
Tuwaeleweshe taratibu nimegundua wengi hawana ufahamu wa haya mamboMshana uliwahi kusikia kuwa mvuje unamkinga mtoto kwa viumbe vibaya?..maana naona humu watu wanaona ni jipya kwao wanabakia kushangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio jipya bali..umeulizwa lazima kitambaa cheusi?? Kwanini isiwe pink, njano? Blue nkMshana uliwahi kusikia kuwa mvuje unamkinga mtoto kwa viumbe vibaya?..maana naona humu watu wanaona ni jipya kwao wanabakia kushangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia sio lazima cheusi..inapendekezwa kutumia cheusi ili kisichafuke haraka maana mvuje anafungwa miezi na siku mbili au tatuSio jipya bali..umeulizwa lazima kitambaa cheusi?? Kwanini isiwe pink, njano? Blue nk
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Chukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....Amuangalie kwa makini tatizo linakua no tumbo kuuma binafsi niliangaika hosptl nikachemka ila nikaja kupata Tiba ya kienyeji tena bure kabisa nilipewa mzizi mmoja nichemshe kabla ya kumpa mtoto nilikaa nao Siku mbili nikishauliana na Mke wangu maana alie tupa alikua hatumuamini ila baada ya mkumpa Ali lala MD mrefu na ndio ikawa mwisho was tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
ila tumbo ni gesi unatakiwa umfanyie mtoto massage ya tumbo .. mlaze kwa tumbo ila uwe makini sababu watoto wengi hufa kwa namna hii ya kulaza wanapo jigeuza na kushindwa kugeuka vizuri na kukosa pumziMtoto anapolia anakupa taarifa kuwa mwilini hayuko sawa.
Mtoto kama ana afya nzuri na hakuna kinachomsumbua mwilini hawezi kulia hovyo hovyo labda kama analia kimila kuwa anataka kupelekwa kwa bibi au babu yake( hii mara huwa inatokea kwa waliotelekezaga wazazi wao na wamezamia mijini sasa amepata mtoto, anajikuta mtoto analia tu lakini haumwi chochote ndio pale unashauliwa mpeleke nyumbani)