Gas inatoka kwa njia ya kujamba, sijaelewa ni njia ipi mbadala ya kumtowa mtoto gesi?Anashiba huyu mtoto????? ( maziwa anayonyonya yanamshibisha???)
Akishanyonya mnamtoa gas???
Bibie wawajua vizuri..waswahili hawakawii kujiwa na mawazo hasi[emoji2] [emoji2]
Sasa Tiffa Dangote ndio nani? Yani unataka kutuaminisha upuuzi wa Diamond ni justification ya kwamba hilo ni sawa?
Hii ni dose ya siku ngapi? Au ni once for good? Imeshaleta matokeo mazuri ambayo umejiridhisha tunaweza tumia option hii kiongozi?Chukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana inategemea iman yako. Nimetoa tu mfano live mkuuSasa Tiffa Dangote ndio nani? Yani unataka kutuaminisha upuuzi wa Diamond ni justification ya kwamba hilo ni sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishamnyonyesha mweke kifuani Kwa kumshikilia kama amelalia ziwa lako, mpige pige kama unambembeleza hapo mgongoni kidogo kidogo hadi acheuwe. Hapo utakuwa umeshamtoa gesiGas inatoka kwa njia ya kujamba, sijaelewa ni njia ipi mbadala ya kumtowa mtoto gesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto hawezi kuvumilia harufu hiyo utamziba njia ya hewaHii ni dose ya siku ngapi? Au ni once for good? Imeshaleta matokeo mazuri ambayo umejiridhisha tunaweza tumia option hii kiongozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Spot on!Kama swali liliulizwa sababu ni nyingi na zinatofautiana Mtoto na Mtoto.
Ila kuna zile ambazo zinajulikana kwa wengi.
1. Mtoto analia sababu ana njaa
2. Mtoto analia sababu anajisikia tu kulia.[emoji6]
3. Mtoto analia sababu anahitaji kubadilishwa nepi.
4. Mtoto analia sababu hajiskii vizuri, pengine anaumwa /maumivu
5. Mtoto analia sababu amechoka anahitaji Kuala.
6. Mtoto analia sababu anataka kubebwa.
7. Mtoto analia sababu anasikia joto au baridi.
Kama yote hayo hayamuhusu basi mwache alie akichoka atalala, jinsi anavyozidi kukua atapunguza nakuacha kabisa.
Hivi vitoto vinaweza vikakulaza macho mwezi mzima usipokuwa mwangalifu.Hapa napata darsa kupitia michango yenu...[emoji2] [emoji2]
Just text me on 0620528998 with your Halotel number nikusaidie tatizo lakoImekuwa ni kawaida kwa kichanga cha wiki tatu kulia sana hasa
nyakati za usiku ni kwanin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtoto anamyonya maziwa ya chupa huwa anavuta ndani na hewa inayojaa tumboni, akisha kunywa maziwa haya mbeulishe ka kumuweka tumbo behani kwako alafu unampiga piga kidogo taratibu mgongoni kwake mpaka abeue, kubeua ni njia moja wapo ya kutoa gesi!Gas inatoka kwa njia ya kujamba, sijaelewa ni njia ipi mbadala ya kumtowa mtoto gesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka kumuibia tu, yeye kauliza hapa mpe solution hapa na wengine wafaidike!Just text me on 0620528998 with your Halotel number nikusaidie tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii dawa inafanya kazi gani ?Chukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app