Kwani ni Lazima kupost kila kitu mtandaoni? Maana Snura alipost kavideo akitaka kuchimba dawa

Kwani ni Lazima kupost kila kitu mtandaoni? Maana Snura alipost kavideo akitaka kuchimba dawa

Hivi nyie mbavu orijino mnaosema ke hatupendani kati ya sanchoka na huyu snura nani mkali??? Kule kwa Sancho mmepooonda ilhali ni mzuri kuliko huyu ukweli na usemwe jamani huyu mtu hana sura wala umbo zuri
 
Wanawake kwel hampendani!!!!....tatizo sio chura tu bali jinsi anavyoweza kuzungusha huo mgongo .....Watu wamejaaliwa
Kwani kusema ana umbo baya ndio simpendi?nampenda sana snura
 
Kwanza anaonekana ameshalewa!!!au wameshalewa hilo jina la mwenzie tu Aisha majanga
 
Hiyo mubashara ya kwenda kukata gogo ilitakiwa iendelee hapo wajatenda haki.
 
Snura hana umbo baya la kutisha sababu hapo akti kiuno kama nyigu nini. Ana tako kubwa lakini tako lenyewe mabonde na miinuko kibao,sijui limekaa upande upande na mwenzangu miguu hana[emoji3][emoji3][emoji3]
Kanajiamini lakini kenyewe,lakini sometimes anakuwa kituko .
 
Believe me.....Apart from half naked wears and twerking, bongo movie actresses have nothing to offer.
 
Back
Top Bottom