figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Mimi napenda kuvaa Socks, lakini tatizo kubwa ni kupata socks zinazofanana.
Ikifika asubuhi mimi navaa Socks iliyokaribu muhimu iwe safi. Sababu hamna kazi ngumu kama kutafuta Socks asubuhi huku unawahi majukumu. Ni moja ya sababu ya kuvaa Socks zisizo fanana.
Kero nayopata ni maswali ya watu hasa wakina dada, eti mbona socks hazifanani?
Sasa uhuru upo wapi? Mbona nguo za juu hazifanani na watu hawashangai?
Je, ni dhambi kuvaa Socks tofauti?
Kama Socks umekosa mwenzake bora uvae viatu bila Socks?
Au Socks nayo ni Urembo?
Ni kazi isiyo ya lazima kujifanya unatafuta Socks nusu saa ili zifanane, huna kazi za kufanya? Muhimu ziwe safi zimefuliwa
Kwanza ipo ndani ya Viatu hakuna anayeiona.
Ni njia gani naweza kufanya iniwezeshe kuvaa Socks zinazofanana? Sababu hata nizipange mbili mbili, kuna zinazobaki hazofanani. Hata siju Socks zangu zinapotelea wapi.
Mungu nisaidie.