Kwani ni lazima socks zifanane rangi? Ukivaa rangi tofauti kuna shida gani?

Kwani ni lazima socks zifanane rangi? Ukivaa rangi tofauti kuna shida gani?

Ni utaratibu tu umewekwa hapa duniani,unaweza kuvaa unavyotaka ila hutaeleweka...
 
Kaka wewe socks? Mm navaa hadi viatu tofauti fresh tu, huku raba na huku mkuki kumoyo sina habari, sababu ni za msingi ni hizo hizo ulizozitaja hapo juu.... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Miguuni napo jaribu kuvaa huku kiatu na huku yeboyebo.

Vitu vingi sio mpaka uulize
 
Siku moja sikutegemea kama hili lingetokea,Soksi moja ilikuwa haionekani ikabidi nivae moja iliyokuwepo.Jamaa yangu mmoja aliniomba nimsindikize kwa anko yake,tulipofika ikabidi tuzame ndani si unajua tamaduni zetu za kuvua viatu unapoingia ndani.karibu na mlango walikaa wadada,mzee nikavua viatu nikabaki na ile soksi yangu moja,nikazama Indian,huku nyuma nikasikia wale kina dada wakicheka
 
Back
Top Bottom