Kuliko mtu avae socks chafu, bora avae rangi tofautiNi utaratibu tu umewekwa hapa duniani,unaweza kuvaa unavyotaka ila hutaeleweka...
HahahaShida yangu ni moja tu. Je, kuvaa Socks tofauti ni dhambi? Yaani watu wataona sina malezi mema mtukutu mwasherati?