Anaruhusiwa kudeka wiki mbili za mwanzo tu,baada ya hapo binadamu wote ni sawa na mahitaji ni sawa
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli.
Hata mimi naamini kwamba wakati mwingine wanawake "wanaumwa" ili wawe karibu na wapenzi wao.Au wanalia ili wabembelezwe.
Sasa kwani ni lazima wanawake wadeke ndiyo wajue wanapendwa kwa kubembelezwa?
...........lol....... Wee kiboko!!
Nahisi umeshindwa tofautisha kudeka na kutaka attention... kujidai waumwa kila saa hio sio kudeka bali ni kutaka attention iwe kwako mda woote vile mgonjwa ana demand.... Ila kudeka kama kudeka me as a woman lazima nideke once in a while kwa mwanaume wangu for that differentiates who is a Man and who is a Woman..... if you know what i mean....
AshaDi mi huwa naogopa hata kukucomment maana you are purely a woman of modern times! hahahaaaaaaaaaaaa!
naogopa kuchangia usije uka undergo mutation bureeee! Ngoja tu wanaume tuvumilie bana!
We sema ukweli hakuna kuumwa umwa kuna kununa ukiuliza,jibu'Roho inaniuma'Kudeka muhimu ukiwa mgumu sana haifai ila kuumwa umwa kunahusianaje na kudeka?
We sema ukweli hakuna kuumwa umwa kuna kununa ukiuliza,jibu'Roho inaniuma'
Roho ni nini,na inauma vipi?
Ya kweli hayoo?huyo wa kwako peke yako ndio yupo hivyo. Wengine tunadeka kwa mipaka tena kwa nidhamu.
umeolewa na mkurya nini?huyo wa kwako peke yako ndio yupo hivyo. Wengine tunadeka kwa mipaka tena kwa nidhamu.
Ha ha haaaaumeolewa na mkurya nini?
........ ila kuumwa umwa kunahusianaje na kudeka?
Khaaa! We kweli kiboko...lolAnaruhusiwa kudeka wiki mbili za mwanzo tu,baada ya hapo binadamu wote ni sawa na mahitaji ni sawa
Na hao ndugu wa mume wanafanya nini kwenye nyumba? Hawana kwao au?..kuna wanawake akiona ndugu wa mume wamejaa kwenye nyumba,ataumwa weeh mpaka wapungue....lol