Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mnaaminiana hakuna haja ya kufanya yote hayo,tatizo kama hamuaminiani,haipendezi kumkagua mwenzako lakini sio marufuku!!!!
kwa hiyo hili swala ni kuhusu uaminifu .....
kwa hiyo mnaweza ku move forward na maisha
kama mnapendana tu ..... na silazima kuonyeshana kila kitu...
Kama inawezekana ni vizuri kushare mambo mengi. Lakini hii dunia ya waja haiishi vituko. Ndio maana watu huwa wanaogopa sana sharing especially now days.
ni makubaliano yenu
hata mie nasema hivyo kwani nimejaribu nimeona matokeo yake mke wangu amekuwa mchungu hata nisitoe senti kusaidia familia yangu kijijini inakuwa kero kwangu bora nimevunja haya mambo nimerudi kama zamani nilipokuwa sina mke manake nadhani ingefikia point hata huyu mke ningemuacha kwani kila jambo yeye lazima aliafiki ndio lifanyike hata kusaidia wazazi wangu nalo linahitaji ruksa yake sasa hapo inakuwa kama mtwana na bwana wake, wapi na wapi, kwangu mimi ilikuwa makubaliano nilipoona inakuwa sivyo nimevunja mkataba kwa hiyo Siyo LAZIMA.kwanini unasema hivyo jamani???
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..
hata mie nasema hivyo kwani nimejaribu nimeona matokeo yake mke wangu amekuwa mchungu hata nisitoe senti kusaidia familia yangu kijijini inakuwa kero kwangu bora nimevunja haya mambo nimerudi kama zamani nilipokuwa sina mke manake nadhani ingefikia point hata huyu mke ningemuacha kwani kila jambo yeye lazima aliafiki ndio lifanyike hata kusaidia wazazi wangu nalo linahitaji ruksa yake sasa hapo inakuwa kama mtwana na bwana wake, wapi na wapi, kwangu mimi ilikuwa makubaliano nilipoona inakuwa sivyo nimevunja mkataba kwa hiyo Siyo LAZIMA.
Tabia nisizo zipenda ni kuona mke au mume kuto jali privancy ya mwenzie. Mambo ya account sawa lakini simu noo.
Mi nadhani kila mtu abaki na vitu vyake, kama nimeishiwa na nahitaji hela toka kwa mume wangu nitamwambia na yeye pia. siyo lazima kushare pin number or bank acc.
huko kwenye password ndo sitaki hata kusikia, akae nayo tu yake.................. vitu vingine ndo maana viliwekwa password, inamaanisha ni private, sasa kwa nini uingilie privacy ya mtu? hata kama ni mkeo/mumeo
.....Yeah ni muhimu, kwa nini umfiche kwenye pesa zako na wakati mwili wako umemwachia huru? Ni makubaliano yenu ila inapendeza kama kila mtu akijua pin number ya mwenzake au ikiwezekana kufungua joint account kabisa.
asante sana kwa maoni yako....
hiyo yakufungua joint account hiyo safi...
na pin number na passwords ninazoongelea si za bank tu...
ni za simu, za email, za kazini na vitu kama hivyo..