Kwani ni lazima???

Kama mnaaminiana hakuna haja ya kufanya yote hayo,tatizo kama hamuaminiani,haipendezi kumkagua mwenzako lakini sio marufuku!!!!
 
Kama mnaaminiana hakuna haja ya kufanya yote hayo,tatizo kama hamuaminiani,haipendezi kumkagua mwenzako lakini sio marufuku!!!!

kwa hiyo hili swala ni kuhusu uaminifu .....
kwa hiyo mnaweza ku move forward na maisha
kama mnapendana tu ..... na silazima kuonyeshana kila kitu...
 
kwa hiyo hili swala ni kuhusu uaminifu .....
kwa hiyo mnaweza ku move forward na maisha
kama mnapendana tu ..... na silazima kuonyeshana kila kitu...

jambo la msingi nililosema ni kuaminiana hilo ndo la maana,ila sio marufuku kutumia vya mwenzi wako,kama vile sim nk
 
Kama inawezekana ni vizuri kushare mambo mengi. Lakini hii dunia ya waja haiishi vituko. Ndio maana watu huwa wanaogopa sana sharing especially now days.
 
jambo la msingi nililosema ni kuaminiana hilo ndo la maana,ila sio marufuku kutumia vya mwenzi wako,kama vile sim nk

asante muheshimiwa nimekuelewa...
 
Kama inawezekana ni vizuri kushare mambo mengi. Lakini hii dunia ya waja haiishi vituko. Ndio maana watu huwa wanaogopa sana sharing especially now days.

tatizo ni pale mko kwenye yale mapenzi ya kwanza ....
hamna kitu kibaya kabisa ..
mnaongelea kuhusu hayo mambo yaku changiana kila kitu.......
lakini maisha yanabadilika ....
 
Na kama hamkubaliani tu ujue huyo sio chaguo lako....Mkamue fasta then mpige chini

hahahahaah lol kama ni hivo mbona watu si wangufilisika sana jamani..
 
kwanini unasema hivyo jamani???
hata mie nasema hivyo kwani nimejaribu nimeona matokeo yake mke wangu amekuwa mchungu hata nisitoe senti kusaidia familia yangu kijijini inakuwa kero kwangu bora nimevunja haya mambo nimerudi kama zamani nilipokuwa sina mke manake nadhani ingefikia point hata huyu mke ningemuacha kwani kila jambo yeye lazima aliafiki ndio lifanyike hata kusaidia wazazi wangu nalo linahitaji ruksa yake sasa hapo inakuwa kama mtwana na bwana wake, wapi na wapi, kwangu mimi ilikuwa makubaliano nilipoona inakuwa sivyo nimevunja mkataba kwa hiyo Siyo LAZIMA.
 
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..

Nijuavyo mkishakuoana mnakua mwili mmoja sasa ulazima wa hayo watoka wapi wakati ni majukumu yenu nyote?

Labda mmoja wenu ana malengo binafsi na hapo ndiyo kizaazaa huanza....................
 
samahani sana kusikia hivyo ...
lakini asante sana kwa ku changia hayo ..
kwani unaongea kutoka kwenye experience yako ...
kwa hicho ndo kiyu kinachoogopesha ... mambo kwenda vibaya baadaye....
je kuvunja ilikuwa ngumu sana???
 
kwa nini simu no?? je inamaana gani ya kuwa wanandoa hali mkifichana hata simu zenu? au bado unachakachua nje ya ndoa?
kwa wewe bado hujakomaa kwenye ndoa yako
Tabia nisizo zipenda ni kuona mke au mume kuto jali privancy ya mwenzie. Mambo ya account sawa lakini simu noo.
 
kwakweli ni vzuri lakini zaidi inategemeana na msingi wenu mmejengaje
 
Mi nadhani kila mtu abaki na vitu vyake, kama nimeishiwa na nahitaji hela toka kwa mume wangu nitamwambia na yeye pia. siyo lazima kushare pin number or bank acc.
huko kwenye password ndo sitaki hata kusikia, akae nayo tu yake.................. vitu vingine ndo maana viliwekwa password, inamaanisha ni private, sasa kwa nini uingilie privacy ya mtu? hata kama ni mkeo/mumeo
 
yaani hapo umeongea cha maana sana...
tatizo ni pale usipochangia kila kitu anazani kuna kitu unamficha.....
 
.....Yeah ni muhimu, kwa nini umfiche kwenye pesa zako na wakati mwili wako umemwachia huru? Ni makubaliano yenu ila inapendeza kama kila mtu akijua pin number ya mwenzake au ikiwezekana kufungua joint account kabisa.
 
asante sana kwa maoni yako....
hiyo yakufungua joint account hiyo safi...
na pin number na passwords ninazoongelea si za bank tu...
ni za simu, za email, za kazini na vitu kama hivyo..
 
All well said except hapo kwenye red, NO
 
asante sana kwa maoni yako....
hiyo yakufungua joint account hiyo safi...
na pin number na passwords ninazoongelea si za bank tu...
ni za simu, za email, za kazini na vitu kama hivyo..

......Kuhusu simu, email mie sioni umuhimu sana maana hivyo ni vitu binafsi. Anaweza kuwa na zaidi ya email moja je utajua zote?

Hata kuhusu account za bank kila mtu anaweza kuwa na account ya kwake lakini mnapeana pin number huwezi jua kesho itakuwaje ili hata mmojawapo akipata shida basi mwenzako aweze kuchukua pesa hata kwenye ATM kwa kutumia debit/credit card.

Vile vile mnaweza kuwa na joint account ambayo inakuwa saving account tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…