Kwani nini Waafrika tunasema Obama's brother?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Dunia nzima inasema Obama's half brother lkn ukija kwa Waafrika tunasema Obama's brother, ni kwa nini?
Je ni kwa sababu ya polygamy kwamba sisi jamii yetu inaruhusu polygamy?

Huyo mmoja ni mchotara (Obama) yaani Mama yake ni Mzungu na Baba yake Mwafrika mweusi kama mimi huyo mwingine Baba yake mweusi kama mimi na Mama yake pia mweusi, ndiyo maana huitwa Obama's half brother!

obama1.jpg

MalikObama.jpg
 
Hilo la kuitana ndugu hata usihoji maana Tanzania ndio lipo sana.

Kuna demu wa Kitanzania aliwahi nikomesha na hilo la undugu...hehehehe. Nilitia jitihada nyingi sana kumtongoza, tukazoeana na kuwa marafiki wa karibu, sasa nilipoanza kubadilisha gear ili nielekeze uhusiano uwe wa kimapenzi akaibuka na "jameni tumezoeana hadi umekua ndugu yangu, hatuwezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi".

Nilibaki hoi nikajiuliza maswali mengi sana, ni nini nilichokifanya hadi mrembo akaniona nimekua kama ndugu yake. Anyway, ilibidi tuendelee kuwa marafiki na zaidi tukawa mandugu hadi leo.
 
Hicho kinaitwa "kibuti cha kidiplomasia".

Yani demu kama huyo anakupiga kibuti halafu kesho anakupiga mzinga. Si ndugu yake bwana?
 
Dunia nzima inasema Obama's half brother lkn ukija kwa Waafrika tunasema Obama's brother, ni kwa nini?
Je ni kwa sababu ya polygamy kwamba sisi jamii yetu inaruhusu polygamy?

Huyo mmoja ni mchotara (Obama) yaani Mama yake ni Mzungu na Baba yake Mwafrika mweusi kama mimi huyo mwingine Baba yake mweusi kama mimi na Mama yake pia mweusi, ndiyo maana huitwa Obama's half brother!

obama1.jpg

MalikObama.jpg

Kiafrika hata ukienda kwenye party ya Waafrika ughaibuni umekutana na Mnigeria anakuita "this is my brother from Tanzania", watu hata hamjuani ndio mmekutana siku hiyo hiyo.

Itakuwa huyo mtu na kaka yake wa baba mmoja?

Waafrika ni maskini wa uchumi lakini matajiri wa mambo ya kijamii.

Wenzetu wazungu ni matajiri wa kiuchumi lakini ni maskini wa mambo ya kijamii.

Ndiyo maana hata undugu wanaupima kwa kibaba, huyu kaka wake yule kwa nusu, yule kwa robo.

Kiafrika afrika ukisema huyu kaka yake nusu yule unakuwa umemtukana mtu hapo.

Kama Mnigeria anaweza kukutana na mimi leo akaniita kaka yake, ukisema huyu ni kaka nusu wa yule ina mana nusu mtu nusu nyani au vipi?
 
Back
Top Bottom