kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Unajua Kuna jamaa kanishangaza sana nikaona nije niulize huku, natumia Toyota Porte Kwa Sasa na inanisaidia mizunguko yangu, Kuna jamaa yangu yeye ana Nissan Murano Sasa ananiambia Mimi natia aibu Kwa biashara zangu hiyo sio gari ya kua nayo najishusha thaman [emoji38]
Sasa naulizia kwani gari ipi nzuri labda ya hadhi kidogo ambayo haili sana mafuta?
Kipato changu naeza ingiza faida 100,000 - 200,000 Kwa siku, kosa kosa sana 60,000 - 100,000 Kwa siku
Sasa Kwa kipato icho ni gari gani ambayo naweza kuimudu ya hadhi kidogo ambayo inaeza isinisumbue kuihudumia.