kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23]'Kakuchana live'! Thank him later...
Sio gari ya masikini per se! Ni baby walker.
Ni bora utembelee Surf No A kuliko Porte No E!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]'Kakuchana live'! Thank him later...
Sio gari ya masikini per se! Ni baby walker.
Ni bora utembelee Surf No A kuliko Porte No E!
Ndinga kali space ndani kubwa kama sebule.Gari ni appliance, just kama rice cooker, dishwasher, washing machine, pasi etc. As long as linafanya kazi iliyokusidiwa, kukutoa point A kwenda B the rest ni mbwembwe tu.
Ni kama mtu atengeze choo cha billions, kwamba sink lote analicover na gold au almasi.
Congratulations kwa Porte. Gari zuri sana. Ingawa kwangu mimi mlango unavofunguka uwa sipendi. Unafunguka mlango mzima.
View attachment 2741950
Pia kuna 2nd generation ya Porte zile za kuanzia 2013 nazo upgraded kali kiasi. Sema kosa la mlango lile lile.
View attachment 2741951
Hata murano naziona zimekaa kidemu demuKana sura mbaya!.. lkn kwann DRC wana ndinga kali sana than tz ..mimi huwa naona kuna gari ni mahusus for women maybe..n maon yangu lkn..
Alien,unataka kumtorosha ndugu yetu wa damu umpeleke "masayari" ya mbele mbele yao!😂Haujambo habib, nimekupm
Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitanoGari ni appliance, just kama rice cooker, dishwasher, washing machine, pasi etc. As long as linafanya kazi iliyokusidiwa, kukutoa point A kwenda B the rest ni mbwembwe tu.
Ni kama mtu atengeze choo cha billions, kwamba sink lote analicover na gold au almasi.
Congratulations kwa Porte. Gari zuri sana. Ingawa kwangu mimi mlango unavofunguka uwa sipendi. Unafunguka mlango mzima.
View attachment 2741950
Pia kuna 2nd generation ya Porte zile za kuanzia 2013 nazo upgraded kali kiasi. Sema kosa la mlango lile lile.
View attachment 2741951
Iyo ni ya kuanzia 2013. Upande wa dereva ina milango miwili ila upande wa abiria mlango mmoja.Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitano
Rahisi sana, HAPO KWENYE USHURU NDIO TUNACHINJANA [emoji119][emoji119]Iyo ni ya kuanzia 2013. Upande wa dereva ina milango miwili ila upande wa abiria mlango mmoja.
Bei haijaachana sana na 1st generation.
View attachment 2743050
Ushuru wake una range kuanzia hapo Mil 6 hivi.
View attachment 2743053
Dec ushuru wao Naona upo chini sanaKana sura mbaya!.. lkn kwann DRC wana ndinga kali sana than tz ..mimi huwa naona kuna gari ni mahusus for women maybe..n maon yangu lkn..
Acha kusikiliza maneno ya watu. Ishi maisha yako. As long as you are happy, nothing matters. Binadamu huwa hawaishiwi cha kusema hata ufanye nini.Unajua Kuna jamaa kanishangaza sana nikaona nije niulize huku, natumia Toyota Porte Kwa Sasa na inanisaidia mizunguko yangu, Kuna jamaa yangu yeye ana Nissan Murano Sasa ananiambia Mimi natia aibu Kwa biashara zangu hiyo sio gari ya kua nayo najishusha thaman [emoji38]
Sasa naulizia kwani gari ipi nzuri labda ya hadhi kidogo ambayo haili sana mafuta?
Kipato changu naeza ingiza faida 100,000 - 200,000 Kwa siku, kosa kosa sana 60,000 - 100,000 Kwa siku
Sasa Kwa kipato icho ni gari gani ambayo naweza kuimudu ya hadhi kidogo ambayo inaeza isinisumbue kuihudumia.