Kwani Porte ni gari za maskini?

Kwani Porte ni gari za maskini?

Gari ni appliance, just kama rice cooker, dishwasher, washing machine, pasi etc. As long as linafanya kazi iliyokusidiwa, kukutoa point A kwenda B the rest ni mbwembwe tu.

Ni kama mtu atengeze choo cha billions, kwamba sink lote analicover na gold au almasi.

Congratulations kwa Porte. Gari zuri sana. Ingawa kwangu mimi mlango unavofunguka uwa sipendi. Unafunguka mlango mzima.

View attachment 2741950

Pia kuna 2nd generation ya Porte zile za kuanzia 2013 nazo upgraded kali kiasi. Sema kosa la mlango lile lile.

View attachment 2741951
Ndinga kali space ndani kubwa kama sebule.
 
fuata ushauri wa jamaa yako halfu Nunua discovery 3 uingie gharama zisizokua na maana na uishi kwa mawazo maana utashindwa kulihudumia....
maana tunapaswa kuishi kulingana na watu wanavyotaka
 
Mtu anayejiamini ni yule anayeishi kwa kuangalia mipango yake, na mtu asiyejiamini ni yule anayeishi kwa kuangalia watu wengine wanasemaje.

Ukitaka kuuza Porte kwa bei ya hasara utanistua ili wewe ununue kali atakazopendekeza rafiki yako. Sisi wengine tunahitaji gari la kujikinga na mvua + jua kwa sababu ni choka mbaya!
 
Gari ni appliance, just kama rice cooker, dishwasher, washing machine, pasi etc. As long as linafanya kazi iliyokusidiwa, kukutoa point A kwenda B the rest ni mbwembwe tu.

Ni kama mtu atengeze choo cha billions, kwamba sink lote analicover na gold au almasi.

Congratulations kwa Porte. Gari zuri sana. Ingawa kwangu mimi mlango unavofunguka uwa sipendi. Unafunguka mlango mzima.

View attachment 2741950

Pia kuna 2nd generation ya Porte zile za kuanzia 2013 nazo upgraded kali kiasi. Sema kosa la mlango lile lile.

View attachment 2741951
Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitano
 
Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitano
Iyo ni ya kuanzia 2013. Upande wa dereva ina milango miwili ila upande wa abiria mlango mmoja.
Bei haijaachana sana na 1st generation.

1000123066.png

Ushuru wake una range kuanzia hapo Mil 6 hivi.

1000123067.png
 
Unajua Kuna jamaa kanishangaza sana nikaona nije niulize huku, natumia Toyota Porte Kwa Sasa na inanisaidia mizunguko yangu, Kuna jamaa yangu yeye ana Nissan Murano Sasa ananiambia Mimi natia aibu Kwa biashara zangu hiyo sio gari ya kua nayo najishusha thaman [emoji38]

Sasa naulizia kwani gari ipi nzuri labda ya hadhi kidogo ambayo haili sana mafuta?

Kipato changu naeza ingiza faida 100,000 - 200,000 Kwa siku, kosa kosa sana 60,000 - 100,000 Kwa siku

Sasa Kwa kipato icho ni gari gani ambayo naweza kuimudu ya hadhi kidogo ambayo inaeza isinisumbue kuihudumia.
Acha kusikiliza maneno ya watu. Ishi maisha yako. As long as you are happy, nothing matters. Binadamu huwa hawaishiwi cha kusema hata ufanye nini.
 
Back
Top Bottom