kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Kwa maelezo haya minakomaa ni hiihii muhimu usafiriGari ni appliance, just kama rice cooker, dishwasher, washing machine, pasi etc. As long as linafanya kazi iliyokusidiwa, kukutoa point A kwenda B the rest ni mbwembwe tu.
Ni kama mtu atengeze choo cha billions, kwamba sink lote analicover na gold au almasi.
Congratulations kwa Porte. Gari zuri sana. Ingawa kwangu mimi mlango unavofunguka uwa sipendi. Unafunguka mlango mzima.
View attachment 2741950
Pia kuna 2nd generation ya Porte zile za kuanzia 2013 nazo upgraded kali kiasi. Sema kosa la mlango lile lile.
View attachment 2741951
Poa sanaFanya yako mzee siku ukiwa na uwezo utajiupgrade! Yeye Murano ndo kaona katoboa kuna wenye maprado , land cruiser, etc
Hawana ushuru sijui wale? Mchawi wa Tanzania ni ushuru.Kana sura mbaya!.. lkn kwann DRC wana ndinga kali sana than tz ..mimi huwa naona kuna gari ni mahusus for women maybe..n maon yangu lkn..
Sijakuelewa bestHaujambo habib, nimekupm
Nimeulizia tuuKwahiyo unataka kubadili Gari kisa rafiki yako kakwambia halikufai?
Yani unataka kuishi maisha yako kwa kufurahisha wengine? ukibadili Gari kisha akaja rafiki yako mwingine akakwambia hilo gari halikufai utabadili tena!
Live ur life,huwezi kuwaridhisha watu,ipo siku watakwambia pia badili mke huyo hakufai.
Ushuru ndio unafanya magari yaonekane ghali tzHawana ushuru sijui wale? Mchawi wa Tanzania ni ushuru.
Imagine unanunua gari la Mil 20, kati yake, thamani ya gari ni Mil 10 hafu 10 nyingine ya ushuru.
Angalau ushuru ungekua 25% ya thamani ya gari. Mfano gari la Mil 10 ushuru uwe Mil 2.5 hapo mtu ukinunua gari la 20 Mil unapata chuma latest cha 2018 kuja juu.
Hakuna anaependa kuendesha magari ya decades mbili ziliopita
Kuna siku nilikutana na Bentley. IT maeneo ya dodoma-singida khaa nipo 160 mwamba anaomba overtake nikazidisha kukaribia 180 jamaa bado anomba nikawa nambania bania kuna sehemu kuna tuta nikapunguza kidogo yule jamaa akapata chance alinikata kama nimesimama nilijaribu kujitutumua wapi yani kama alifika mbele kisha akapaa. All in all wacongo wanaagiza magari ya kifahari sana a.k.a madungu jeshi sa sijui ushuru uko chini!Hawana ushuru sijui wale? Mchawi wa Tanzania ni ushuru.
Imagine unanunua gari la Mil 20, kati yake, thamani ya gari ni Mil 10 hafu 10 nyingine ya ushuru.
Angalau ushuru ungekua 25% ya thamani ya gari. Mfano gari la Mil 10 ushuru uwe Mil 2.5 hapo mtu ukinunua gari la 20 Mil unapata chuma latest cha 2018 kuja juu.
Hakuna anaependa kuendesha magari ya decades mbili ziliopita
Nchi iko kwenye vita, serikali ipo busy na usalama, mambo ya nani amesajiri gari hawana.Kuna siku nilikutana na Bentley. IT maeneo ya dodoma-singida khaa nipo 160 mwamba anaomba overtake nikazidisha kukaribia 180 jamaa bado anomba nikawa nambania bania kuna sehemu kuna tuta nikapunguza kidogo yule jamaa akapata chance alinikata kama nimesimama nilijaribu kujitutumua wapi yani kama alifika mbele kisha akapaa. All in all wacongo wanaagiza magari ya kifahari sana a.k.a madungu jeshi sa sijui ushuru uko chini!
'Kakuchana live'! Thank him later...Unajua Kuna jamaa kanishangaza sana nikaona nije niulize huku, natumia Toyota Porte Kwa Sasa na inanisaidia mizunguko yangu, Kuna jamaa yangu yeye ana Nissan Murano Sasa ananiambia Mimi natia aibu Kwa biashara zangu hiyo sio gari ya kua nayo najishusha thaman [emoji38]
Sasa naulizia kwani gari ipi nzuri labda ya hadhi kidogo ambayo haili sana mafuta?
Kipato changu naeza ingiza faida 100,000 - 200,000 Kwa siku, kosa kosa sana 60,000 - 100,000 Kwa siku
Sasa Kwa kipato icho ni gari gani ambayo naweza kuimudu ya hadhi kidogo ambayo inaeza isinisumbue kuihudumia.
Pia nchi kama Congo, ushuru sio wa moto kama Tanzania. Ambapo Ushuru total unaweza fika ata 100% ya bei ya gari, na baadhi ya case inazidi 100%.Kuna siku nilikutana na Bentley. IT maeneo ya dodoma-singida khaa nipo 160 mwamba anaomba overtake nikazidisha kukaribia 180 jamaa bado anomba nikawa nambania bania kuna sehemu kuna tuta nikapunguza kidogo yule jamaa akapata chance alinikata kama nimesimama nilijaribu kujitutumua wapi yani kama alifika mbele kisha akapaa. All in all wacongo wanaagiza magari ya kifahari sana a.k.a madungu jeshi sa sijui ushuru uko chini!
Kweli kabisaNa sisi bongo wangeshusha ushuru watu wasingekuwa wananunua magari used hapa hapa bongo.
Gari zinauzwa hadi dola 400 sasa ushuru wake baba!ni hatari kabisa.isungekuwa ushuru wengi wangekuwa wanamiliki magari.