The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Wakuu kwema! Kwani sheria inasemaje mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Mimi najua ni kosa la jinai
Mbona mama anasema “fanyianeni wakubwa kwa wakubwa”
Lucas Embu muite Kafulila na Steven Nyerere watupe majibu
Lucas Mwashambwa kwanini mama anataka kupingana na katiba? Au alikuwa anamaanisha nini wafanyane wakubwa kwa wakubwa?