The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Yeye kasema fanyianeni wakubwa kwa wakubwa sasa tunataka watu wa sheria watuelezee je inaruhusiwa? Wakati sheria inakatazaKwamba wasagane wakubwa kwa wakubwa sio watoto?
Hujui naye ni wa kizimkazi
“kama mnataka kufanya fanyianeni wakubwa kwa wakubwa acheni watoto”Nitakuja kukujibu maana naona hukuelewa vyema
mama karuhusu wakubwa kwa wakubwa"Wacheni hizo
acheni mambo hayo"
Rais Samia anaongea kama ni matroni wa bweni la shule, hajijui ni Rais wa nchi inayoendeshwa kisheria. Ukimkosoa anasema " wananilipa matusi." Hajui maana kamili ya kile kiti.
Tujifunze kuchuja watu tunaowafanya viongozi, si Mama au Baba yeyote tu kutoka popote ana uwezo wa kuwa Rais.