mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari unafurahishaUnahangaika na watu waliounguza fuzi!!!
mbona Kama wanakuaga na Ugo I hivi[emoji3][emoji3][emoji3] kumbe ni marafikiShilole chakula ya baba levo hiyo.
Ukitaka ugomvi na shilole mseme vibaya baba levo, na kinyume chake
Mwacheni aenjoy bana ni bandika bandua
Huyo kijana anaenda kuchukua HIV, kijinga sanaVijana wanajikulia nuksi na mikosi tu
😂😂😂😂😂Sure bro, Kwanza nani asiyependa vijana? Mi mwenyewe napenda visichana kama vile vya Instagram sema tu nipo na Mama Gaude, nikileta ujinga anaweza kunikabidhi kwa baba muumba kabla ya siku yangu
ATM machines zinameza Sana kadi , hasa za nmbKumbe ATM card ikinasa, unaweza kuitoa wee mwenyewe? Wajaaa na hamsemiii.
Sijapentraaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Shishi yupo kwenye grid ya Taifa!!Huyo kijana anaenda kuchukua HIV, kijinga sana
Na Ndio maana anawabadilisha kila mara, ni kama analipiza kisasi iviKumbe Shishi yupo kwenye grid ya Taifa!!