Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Sasa huyo muoaji anashika tu mapembe wenzake wanakamuaShilole chakula ya baba levo hiyo.
Ukitaka ugomvi na shilole mseme vibaya baba levo, na kinyume chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo muoaji anashika tu mapembe wenzake wanakamuaShilole chakula ya baba levo hiyo.
Ukitaka ugomvi na shilole mseme vibaya baba levo, na kinyume chake
Sasa jinsii ya kuitoa wee mwenyewee, hapoo ndo sikuwahi kujua.ATM machines zinameza Sana kadi , hasa za nmb
😉😏Kumbe Shishi yupo kwenye grid ya Taifa!!
Huwezi kuichomoA wewe mwenyewe mpaka waje Authorized dealers ndio wakusaidie kuichomoA.Sasa jinsii ya kuitoa wee mwenyewee, hapoo ndo sikuwahi kujua.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana kamua HIV labdaSasa huyo muoaji anashika tu mapembe wenzake wanakamua
Za chumbani zikizidi ni shida angekuepo rais mwinyi angekueleza vizur kilichomsibu mpaka nch ikawa inaongozwa na amr kutoka kwa mke wakeMi ningekua shilole ningeona aibu sana . sjui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibuView attachment 3081269
anao na yeye, mfano mtu anaendaje kutembea na wemaHuyo kijana anaenda kuchukua HIV, kijinga sana
Amewaachia wadau wengine waliendeshe...😂😂😂Jamaa alisemaa amemaliza kuendesha gurudumuu…gurudumu lenyew sasa 😂
Shilole anaishi vichwani mwa watu bila kulipa kodi.Kila mtu anapata anachotaka, maisha yaendelee, binafsi sina nafasi ya kuwahukumu hawa watu kwasababu nina mapungufu yangu tena ni noma kinoma.
Sasa mbna huyo Kiben10 wa Shilole, kasema alimsaidia kuichomoa, na yeye sio authorized dealers. LolHuwezi kuichomoA wewe mwenyewe mpaka waje Authorized dealers ndio wakusaidie kuichomoA.
kila nikimuangalia.mdogo wangu nuh roho inaniuma sanaHuyo kijana anaenda kuchukua HIV, kijinga sana
Mzee unatuletea mambo ya Uswazi huku JF?Mi ningekua shilole ningeona aibu sana . sjui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibuView attachment 3081269