Kwani Shilole haoni aibu?

Mapenzi hayana umri
Yeye anapenda dogo dogo

Ova
 
Kila mtu anapata anachotaka, maisha yaendelee, binafsi sina nafasi ya kuwahukumu hawa watu kwasababu nina mapungufu yangu tena ni noma kinoma.
Shilole anaishi vichwani mwa watu bila kulipa kodi.
 
Huwezi kuichomoA wewe mwenyewe mpaka waje Authorized dealers ndio wakusaidie kuichomoA.
Sasa mbna huyo Kiben10 wa Shilole, kasema alimsaidia kuichomoa, na yeye sio authorized dealers. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shilole nilimuona juzi
Aisee kama sio huo mwili ni mzuri sana
Inatakiwa apungue tu

Kuhusu mahusiano yake
Kama haikuhusu moja kwa moja why ikukere
 
"usishindane na demu, huyo mwenzako ataolewa ,atahongwa
na nyumba atajengewa vipi mwanaume mwenzangu nawe
utatafta bwana wakukuonga nakukuchezea"

Nay Wa Mitego - Sina Muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…