Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Kitambo nilitoweka hapa,
Nipo, chotara mie kuna yaliyonikumba nimewakumbuka MMU, long time sana.
Jana nimetoka ofcn nikapita kula madafu agakhan si nikakutana na Yahaya..... nikauchuna sikumsalimia nae alikuwa anakula dafu akaja kunisalimia na maongezi yakaanza. Oooh nilikuwa Bangkok biashara imenikeep busy sasa niko safi naomba tuwe pamoja nilikuwa natafuta mama. Nikamwambia mbona usinitafute akajitetea kila siku alikuwa anakuja hapo agakhan kula madafu na aliamini tungeonana tuu. Nikamwambia ntakutafuta wikend ijayo, sasa Yahaya huyu kanijaa tangu jana nawaza tuu matokeo...
Nikimkubali kwani nadaiwa...., shingapi???!