Kwani shi'ngapi? Aaaagghh!

Kwani shi'ngapi? Aaaagghh!

Mkunde Original

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
807
Reaction score
647
Kitambo nilitoweka hapa,

Nipo, chotara mie kuna yaliyonikumba nimewakumbuka MMU, long time sana.
Jana nimetoka ofcn nikapita kula madafu agakhan si nikakutana na Yahaya..... nikauchuna sikumsalimia nae alikuwa anakula dafu akaja kunisalimia na maongezi yakaanza. Oooh nilikuwa Bangkok biashara imenikeep busy sasa niko safi naomba tuwe pamoja nilikuwa natafuta mama. Nikamwambia mbona usinitafute akajitetea kila siku alikuwa anakuja hapo agakhan kula madafu na aliamini tungeonana tuu. Nikamwambia ntakutafuta wikend ijayo, sasa Yahaya huyu kanijaa tangu jana nawaza tuu matokeo...
Nikimkubali kwani nadaiwa...., shingapi???!
 
Chini kukishaanza kupwita there's nothing you can do...! Just offer the papaya..watu watafune vyao!!!;
 
Hahahaaaa! Umepewa bureeee, toa bureee!
 
Chini kukishaanza kupwita there's nothing you can do...! Just offer the papaya..watu watafune vyao!!!;


Yaani kama ulikuwepo chini kunapwita balaa, hope itakuwa tamu hv long time sjakule ile kitu...
 
Back
Top Bottom