Kwani Simba SC hamuogopi Yanga hii?

Cabinet ya wazee kwanza muda huu wote washalala.

Kuna wachezaji wamemzidi umri hadi injinia ukiuliza vipi utaambiwa eti wana mikimbio.
Msimu ujao watazikimbia live posts zao.
 
Mlimtafuta tangu akiwa kwenye ubora, hatimae mmefanikiwa akiwa maji ya shingo (mtumba)...

Hongereni, nadhani kauli za mzee na hana kasi hatutozisikia tena.
Maji mtayaita mmmmmaaaajii
 
Simba ya sasa hivi haiwezi kuogopa timu ya vibabu wa Miaka 30+

Na nikwambie tu mtani ngao ya jamii hao vibabu wenu watasahau mikongojo yao uwanjani .
Niko paleeeee, nimekaa .utakuja unisute.
Yajayo yanatisha......

Makolo mpo tayariiiii
 
Cabinet ya wazee kwanza muda huu wote washalala.

Kuna wachezaji wamemzidi umri hadi injinia ukiuliza vipi utaambiwa eti wana mikimbio.
Hao ndio waliwakanda 5G[emoji23]
 
Ulishaona wapi mnyama Tena mfalume wa nwituni anatishiwa na nyau kwenye gunia hahaha 🤣 nimekaa pale tukutane kwenye ngao ya jamii
 
Simba ya sasa hivi haiwezi kuogopa timu ya vibabu wa Miaka 30+

Na nikwambie tu mtani ngao ya jamii hao vibabu wenu watasahau mikongojo yao uwanjani .
Niko paleeeee, nimekaa .utakuja unisute.
Vibabu hao waliwagonga chuma 5
Kibabu Azizi
Kibabu max
Kibabu Pacome
 
Hapo kati ku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…