Kwani Simba SC hamuogopi Yanga hii?

Kwani Simba SC hamuogopi Yanga hii?

Mlimtafuta tangu akiwa kwenye ubora, hatimae mmefanikiwa akiwa maji ya shingo (mtumba)...

Hongereni, nadhani kauli za mzee na hana kasi hatutozisikia tena.
Maji mtayaita mmmmmaaaajii
 
Simba ya sasa hivi haiwezi kuogopa timu ya vibabu wa Miaka 30+

Na nikwambie tu mtani ngao ya jamii hao vibabu wenu watasahau mikongojo yao uwanjani .
Niko paleeeee, nimekaa .utakuja unisute.
Yajayo yanatisha......


Makolo mpo tayariiiii
 
Cabinet ya wazee kwanza muda huu wote washalala.

Kuna wachezaji wamemzidi umri hadi injinia ukiuliza vipi utaambiwa eti wana mikimbio.
Hao ndio waliwakanda 5G[emoji23]
 
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI
emoji119.png
emoji119.png
emoji91.png
WANANCHi

Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao pale Jangwani Yanga Afrika , mabingwa hao msimu uliopita walitamba na nyota wao AZIZ KI, PACOME ZOUZOUA na MAX NZINGELI kunako mstari wa mbele wa Yanga sc wameona haitoshi wamemleta nyota tegemeo wa Simba sc CLATOUS CHAMA yaani moto juu ya moto
emoji119.png
emoji91.png
emoji91.png
..

NB: Yaani hapa naogopa mpaka natetemeka Kila nikikitazama kikosi hiki
emoji23.png
emoji23.png


View attachment 3033440
Ulishaona wapi mnyama Tena mfalume wa nwituni anatishiwa na nyau kwenye gunia hahaha 🤣 nimekaa pale tukutane kwenye ngao ya jamii
 
Simba ya sasa hivi haiwezi kuogopa timu ya vibabu wa Miaka 30+

Na nikwambie tu mtani ngao ya jamii hao vibabu wenu watasahau mikongojo yao uwanjani .
Niko paleeeee, nimekaa .utakuja unisute.
Vibabu hao waliwagonga chuma 5
Kibabu Azizi
Kibabu max
Kibabu Pacome
 
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI [emoji119][emoji119][emoji91] WANANCHi

Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao pale Jangwani Yanga Afrika , mabingwa hao msimu uliopita walitamba na nyota wao AZIZ KI, PACOME ZOUZOUA na MAX NZINGELI kunako mstari wa mbele wa Yanga sc wameona haitoshi wamemleta nyota tegemeo wa Simba sc CLATOUS CHAMA yaani moto juu ya moto [emoji119][emoji91][emoji91]..

NB: Yaani hapa naogopa mpaka natetemeka Kila nikikitazama kikosi hiki[emoji23][emoji23]

View attachment 3033440
Hapo kati ku
 
Back
Top Bottom