Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI [emoji119][emoji119][emoji91] WANANCHi
Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao pale Jangwani Yanga Afrika , mabingwa hao msimu uliopita walitamba na nyota wao AZIZ KI, PACOME ZOUZOUA na MAX NZINGELI kunako mstari wa mbele wa Yanga sc wameona haitoshi wamemleta nyota tegemeo wa Simba sc CLATOUS CHAMA yaani moto juu ya moto [emoji119][emoji91][emoji91]..
NB: Yaani hapa naogopa mpaka natetemeka Kila nikikitazama kikosi hiki[emoji23][emoji23]