Kweli kabisa. Moja au mbili hivi. Lakini nne(ine) 4G ni nyingi sana.Kufungwa ila si nyingi hivi
Walipigwa nane na Bayern.Barca walishawai kupigwa goli tano na Messi akiwemo,sio ajabu Simba kupigwa goli nne.
Ball positions.......ball possessionsWao walikuwa wanapiga piga pasi zisizo na tija. Walikuwa wanaotewa sehemu chache. Wakalale na ball positions yao huko.
Hawa ni underdog hawana tactical experience kwenye level hizo za ligi.
Hata Alhyl walijiuliza sana Simba iliongoza vipi ligi
Yap,nakumbuka hii gemu.Walipigwa nane na Bayern.