Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Marehemu alikuwa na mdomo sana.

Nadhani Kocha hakufanya kazi zake vizuri. Toka lini mpira ukawa BIRIANI.

Simba haitoweza kupindua meza, haina huo uwezo. Possession 70% , Goal ;0 that was stupidly and absurdly
 
Wao walikuwa wanapiga piga pasi zisizo na tija. Walikuwa wanaotewa sehemu chache. Wakalale na ball positions yao huko.

Hawa ni underdog hawana tactical experience kwenye level hizo za ligi.

Hata Alhyl walijiuliza sana Simba iliongoza vipi ligi
Ball positions.......ball possessions



..
 
Back
Top Bottom