Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Barca walishawai kupigwa goli tano na Messi akiwemo,sio ajabu Simba kupigwa goli nne.
Achana na utopolo wanahisi simba kufungwa na kaizer chief kutawaongezea wao point vpl ila ukweli utabaki kuwa ukweli simba ni timu bora Africa.
 
Hakuna cha kuzidiwa. Hamna Quality na Strength za kucheza hizo level.

Kwani ni mara ya 1 kutolewa hizo level ?
Nyie wenye hizo quality mnacheza ligi gani?? Ila utopolo alowaita manyani hakukosea kabisa.
 
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya TZ bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor.

2. Kwa forward gani Simba ifike nusu fainali, yule mla chewing gum ? Mpira wa kupigiana pasi zisizo na tija wala manufaa eti Biriani ; wachezaji warudi Home kupumzika

3. Mpira ni INVESTMENT, wachezaji wa machief wana miili na ligi yao inawapa ushindani mkubwa. Tukisema Simba ni Under dog mtuelewe.

4. Kwa kuwakumbusha Tu Kaiser ni ya 11 kwenye msimamo wa ligi, huku simba ikiongoza ligi ya TFF.
Ungeandika haya kabla ya mechi kuanza ningekuelewa, lakini sasa unaonyesha frustration tu za utopolo!! Pole !
 
Nyie wenye hizo quality mnacheza ligi gani?? Ila utopolo alowaita manyani hakukosea kabisa.

Unaona mechi ya Mamelodi na Ahly ? Hizo ndio mechi zenye nidhamu.

We goli 4 kama mechi za ligi bwana. Yaani mechi ya leo tumeshajua nani anapita.

Ndio ujue maana ya Underdog
 
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya TZ bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor.

2. Kwa forward gani Simba ifike nusu fainali, yule mla chewing gum ? Mpira wa kupigiana pasi zisizo na tija wala manufaa eti Biriani ; wachezaji warudi Home kupumzika

3. Mpira ni INVESTMENT, wachezaji wa machief wana miili na ligi yao inawapa ushindani mkubwa. Tukisema Simba ni Under dog mtuelewe.

4. Kwa kuwakumbusha Tu Kaiser ni ya 11 kwenye msimamo wa ligi, huku simba ikiongoza ligi ya TFF.
wenyewe wanasema kwa Simba hii hata Barcelona anakaa,huwa nawasiliza nawaacha tu.
 
Ni Utopolo tu ndo wanaoamini mechi imeisha, labda niwakumbushe maajabu ya mwaka 2017.

In 2017 UCL Quarter finals
PSG 4-0 Barcelona (1st leg)
Barcelona 6-1 PSG ( 2nd leg)

Kwenye mpira lolote linawezekana.
endelea kuamini kwa mkapa hatoki mtu,na mtaaibika pale pale
 
Lawama zote kwenu Simba na baba yenu tff, mngecheza mechi ya may 8 na Ile ya Coastal union J4 huenda Kuna kitu mngegain kwa faida ya mech ya leo, wenzen Kaiser walicheza mechi mbili za ligi kabla ya mechi ya Leo na nadhani zimewaongezea credit kwenye game ya leo. Sasa tff na vilabu vyetu vijifunze, kuhairisha mechi na kutengeneza vipolo haisadii timu zetu kwa lolote. Ni bora Ile kanuni ya FIFA ya min 72hrs btn one game and another izingatiwe.
 
Makinda tu haya. TFF yote imejaa Simba.

Ila Mimi sidhani kama Simba anakiwango chochote cha maana. Wachezaji kama kina Chama , Mugalu ndio staa wao. Yaani Mavi Mavi na Takataka. Sijui kwanini watu wanaumia Simba kufungwa.

Waache waongoze ligi yao ya TFF walijikuta wamekuwa na kiwango wakasahu asili yao kuwa ni underdog.

Na watatoka tu hakuna namna, na mwakani hawachezi hata MAKUNDI.
 
Lawama zote kwenu Simba na baba yenu tff, mngecheza mechi ya may 8 na Ile ya Coastal union J4 huenda Kuna kitu mngegain kwa faida ya mech ya leo, wenzen Kaiser walicheza mechi mbili za ligi kabla ya mechi ya Leo na nadhani zimewaongezea credit kwenye game ya leo. Sasa tff na vilabu vyetu vijifunze, kuhairisha mechi na kutengeneza vipolo haisadii timu zetu kwa lolote. Ni bora Ile kanuni ya FIFA ya min 72hrs btn one game and another izingatiwe.
Hili limechangia sana. Wamekaa wiki mbili bila mechi ya ushindani. Mechi ya coastal union walitakiwa wacheze.
Kweli hili liwe fundisho kwa tff.
 
Back
Top Bottom