OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yeye na timu yake kina Mwakitalima mnastahili pongezi.
Kwanza umeunganisha matawi ya Simba na umeacha kujiona boss. Pia umewafanya wanazi wa Simba kina Mwakitalima, Mzee wa Pass milioni, Aggy na wengine rundo wajione unazi wao unatambuliwa na Club.
Semaji la Robo Fainali soon litakuwa semaji la Nusu Fainali Inshaalah