Kwani tukimpongeza Ahmed Ally tunapungukiwa nini?

Unakufuru bure, chuki zako utakufa nazo na manara wala hana habari na wajinga wajinga aina yako, yaani mnapambana na kivuli cha manara mtamuweza kweli?
Nahisi wewe ndo Manara .
Punguza unafiki broo.
Simba ni timu ya watu.

Halafu eti mnajiita wananchi. Wananchi gani wanafiki , wasaliti wa nchi , wapenda kujikomba kwa wageni , wazandiki na uchafu wa kila namna?
 
Ukubwa wa mechi ndio una ongeza idadi ya mashabiki siamini kama watu wanaenda uwanjani sababu ya msemaji , mbona kwenye ligi kuu hio idadi ya mashabiki inapungua huko hua mhasishaji nani?
Haji alishajaribu kuaminisha watu, kupitia yeye watu ndio hujaa, imedhihirika si kweli..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Umepitia page ya mzee wa mitala?
Akipost ... uuuwi mpaka utaona huruma!
Simba ilimuinua sana!😀
 
Anatoa hoja hashambulii mtu, anaunganisha team na mashabiki ila sio kibaraka wa boss na pia jamaa elimu ipo ndo maana akipiga dogo unashangaa comment za uto zinabaki kuwa "nyie subirini mechi ya marudiano mtakula mvua".
ahmed anajua sana.
 
Simba ikiingia nusu fainali huyu dogo atafanya maajabu makubwa kwa kipawa chake cha uandishi na utangazaji wa habari.
Mungu anamuinua hasaaa.
 
Bugatti alikuwa akitangaza tu redioni au kwenye TV watu wanajaa uwanjani, hako kajamaa mpaka kakakate viuno kwenye matawi ndiyo watu wajae
 
Kwenye swala la uvumilivu, Simba tunawajua vizuri tu. Ngoja tuwape muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…