Ndio marue rue yenyewe hayo. Hata uchaguzi wa 2020 walisema ulikuwa "fair" wakati mpaka leo haijulikani kura ngapi alipata mtu gani katika ngazi ya kitaifa. Leo ndio Profesa huyo huyo anatuaminisha haya tunayoyasikia!Yakufanya assessment baada ya Uchaguzi halafu anauambia umma Uchaguzi ilikuwa fair kabisa🚮🚮🚮 Leo anatoa wapi huo ujasiri wa kuyazungumza haya?
Hayo mazee ya UDSM mengi yametumika sana kuharibu demokrasia hapa nchini. Huyo Kabudi, Professor Shivji, Kitila Mkumbo nk wametumika sana kuharibu jitihada za mabadiliko hapa nchini.Jamaa kachangia kwa kiasi kikubwa kuua struggle za Katiba halafu leo anajitutumua🚮
Hakika.In short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
Wana Katiba ambaya angalau ukienda Mahakamani unapata haki yako, hapa kwetu wanamsikiliza huyu Mungu mtu anasemaje kwanza ndipo watoe hukumu. Tukubali wametuacha mbali.Bora hata sisi ambao tunaathiriwa na siasa za chama kimoja kuliko Kenya ambako kama hujazaliwa Mkalenjini au Mkikuyu huwezi kuwa Rais Kenya.
Kiukweli mimi naona Giza hukuna hata chembe ya Nuru huko mbele, angalia vijana wetu wasomi na ambao hawajaenda shule they are in the same boat. Sasa unajiuliza nini hatima ya Taifa hili ikiwa hali ndio hii?In short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
Hapa ndipo panapoleta hasira😭😭Mbaya zaidi tunatawaliwa na Mzanzibar. Nyerere mungu amchome moto hasa huyu mzee kaleta nuksi sana katika nchi yetu Tanganyika.
Sasa Hawa akina mukamdara si ndo wanakwamisha mchakato wa katibapyaNimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?
===
Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:
"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."
Siku mambo yakichachia utamwona na prof. Kabudi naye anakuja kutoa mihadharaJamaa kachangia kwa kiasi kikubwa kuua struggle za Katiba halafu leo anajitutumua🚮
Shangaa mtu kama Pasco angalau anakausomi flani ka kuungaunga lakini ni chawa na ailiombea ubunge akapata kura 1Kiukweli mimi naona Giza hukuna hata chembe ya Nuru huko mbele, angalia vijana wetu wasomi na ambao hawajaenda shule they are in the same boat. Sasa unajiuliza nini hatima ya Taifa hili ikiwa hali ndio hii?
Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.Hayo mazee ya UDSM mengi yametumika sana kuharibu demokrasia hapa nchini. Huyo Kabudi, Professor Shivji, Kitila Mkumbo nk wametumika sana kuharibu jitihada za mabadiliko hapa nchini.
Katiba hii inamfanya Kila mtu awe chawaIn short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
Hayo mamlaka ndiyo aliyotumia Magufuli kuiba uchaguzi wa mwaka 2020. Na kuna uwezekano wakurugenzi wa CCM wakatumia mbinu ileile kuiba uchaguzi wa mwaka huu na 2025. Mungu anawaona hawa mbwa pori.Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?
===
Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:
"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."
Shivji alichemsha ikabidi ayakane machapisho yake, niliandika humu nikishauri mamlaka za chuo zimpokonywe PhD na kumfuta uprof.Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.
Una kumbukumbu nzuri, nakumbuka Shivji aliandaliwa vipindi vya kutosha ITV akawa anapotosha waziwazi. Kila mtu aliyekuwa anajua mtazamo wake hapo kabla aliishia kumpuuza.Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.
Hana cha kupoteza maana hana haja ya kujipendeza ili apata uteuzi. Ameshachuma vya kutosha kwa uchawa wake.Hata na mimi nimejiuliza mara mbilimbili .... imagine kamalizia kwa kusema TUNAHITAJI KATIBA MPYA.
Imagine huyo ni PROF!!!!!!!Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?