Kwani tuna akina Prof. Mukandala wangapi jamani?

Yakufanya assessment baada ya Uchaguzi halafu anauambia umma Uchaguzi ilikuwa fair kabisa🚮🚮🚮 Leo anatoa wapi huo ujasiri wa kuyazungumza haya?
Ndio marue rue yenyewe hayo. Hata uchaguzi wa 2020 walisema ulikuwa "fair" wakati mpaka leo haijulikani kura ngapi alipata mtu gani katika ngazi ya kitaifa. Leo ndio Profesa huyo huyo anatuaminisha haya tunayoyasikia!
 
In short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
 
Hakika.
 
Bora hata sisi ambao tunaathiriwa na siasa za chama kimoja kuliko Kenya ambako kama hujazaliwa Mkalenjini au Mkikuyu huwezi kuwa Rais Kenya.
Wana Katiba ambaya angalau ukienda Mahakamani unapata haki yako, hapa kwetu wanamsikiliza huyu Mungu mtu anasemaje kwanza ndipo watoe hukumu. Tukubali wametuacha mbali.
 
In short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
Kiukweli mimi naona Giza hukuna hata chembe ya Nuru huko mbele, angalia vijana wetu wasomi na ambao hawajaenda shule they are in the same boat. Sasa unajiuliza nini hatima ya Taifa hili ikiwa hali ndio hii?
 
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?

===

Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:

"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."
Sasa Hawa akina mukamdara si ndo wanakwamisha mchakato wa katibapya
 
Profesa mjinga Sana. Wakati anasoma ripoti yake ya Uchaguzi wa 2020, akadai uchaguzi ulikuwa huru na haki. Eti mapungufu yaliyotokea ni machache hayawezi kuadhiri uchaguzi. Tangia siku hiyo kila anachokiongea nakiona Kama uchafu.
 
Kiukweli mimi naona Giza hukuna hata chembe ya Nuru huko mbele, angalia vijana wetu wasomi na ambao hawajaenda shule they are in the same boat. Sasa unajiuliza nini hatima ya Taifa hili ikiwa hali ndio hii?
Shangaa mtu kama Pasco angalau anakausomi flani ka kuungaunga lakini ni chawa na ailiombea ubunge akapata kura 1
 
Hayo mazee ya UDSM mengi yametumika sana kuharibu demokrasia hapa nchini. Huyo Kabudi, Professor Shivji, Kitila Mkumbo nk wametumika sana kuharibu jitihada za mabadiliko hapa nchini.
Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.
 
In short ni kwamba kama viongozi wakubwa kwenye hii nchi wataendelea kuteuliwa na rais basi tusitegemee maendeleo yoyote kwenye hii nvhi labda yale ya bahati mbaya.
Kama hadi wabunge wanateuliwa na rais(refer 2020) tusitegemee lolote la maana kwenye hii nchi zaidi ya upuuzi.
Katiba hii inamfanya Kila mtu awe chawa
 
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?

===

Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:

"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."
Hayo mamlaka ndiyo aliyotumia Magufuli kuiba uchaguzi wa mwaka 2020. Na kuna uwezekano wakurugenzi wa CCM wakatumia mbinu ileile kuiba uchaguzi wa mwaka huu na 2025. Mungu anawaona hawa mbwa pori.
 
Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.
Shivji alichemsha ikabidi ayakane machapisho yake, niliandika humu nikishauri mamlaka za chuo zimpokonywe PhD na kumfuta uprof.
 
Kweli kabisa. Nakumbuka wakati katiba mpya imetia for a 2014, CCM wakamkodi Prof Shivi kutoa mihadhara kuhusu serikali tatu. Ingawa alipata shida Sana kujielezea hasa kwenye suala la serikali mbili.
Una kumbukumbu nzuri, nakumbuka Shivji aliandaliwa vipindi vya kutosha ITV akawa anapotosha waziwazi. Kila mtu aliyekuwa anajua mtazamo wake hapo kabla aliishia kumpuuza.
 
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?

===

Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:

"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."
Imagine huyo ni PROF!!!!!!!
👐👐
 
Back
Top Bottom