Kwani ukipima HIV ukakuta negative ndo kusema hapo mko salama?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Kuna wimbi kubwa la watu wakitaka show mmoja wapo hudai tukapime kwanza. Sasa hata mkipimana kipimo kikaonyesha negative, ndo kusema mko wote salama kulana kavukavu?

Vipi kama muda mfupi kabla ya hapo mmoja wapo kaukwaa? Vipi labda juzi au jana mmoja wenu kakanyaga mawaya? Hivi vipimo mnaviaminije?

Uaminifu wa hivi vipimo vinaweza kuonyesha usahihi wa HIV baada ya muda gani baada ya mtu kuambukizwa? Wajuzi na wataalamu njoo mtujuze!
 
Vipimo vina selective affinity Kwa kirusi hivyo kama unao kitasoma
Hizi vipimo(SD bioline) ni antibody tests, so ni mpaka mwili urespond kwa antigen ( yani HIV) ndo kipimo kiweze kudetect virus, so antibodies kutengenezwa inategemea na immunity ya mtu , kuna wanaorespond mapema na wanaochelewa , ndio maana hata ukipimwa ukimwi leo inabidi upime tena after 3 months, ndo mda ambao ata slow responders wanakua tayari washatengeneza antibodies.
Ila kwa kutumia PCR HIV unaweza kutambua the same day kwasababu inapima kirusi chenyewe.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu PCR HIV ndo nini? Njoo utujuze
 
Kuna wimbi kubwa la watu wakitaka show mmoja wapo hudai tukapime kwanza. Sasa hata mkipimana kipimo kikaonyesha negative, ndo kusema mko wote salama kulana kavukavu?

Vipi kama muda mfupi kabla ya hapo mmoja wapo kaukwaa? Vipi labda juzi au jana mmoja wenu kakanyaga mawaya? Hivi vipimo mnaviaminije?

Uaminifu wa hivi vipimo vinaweza kuonyesha usahihi wa HIV baada ya muda gani baada ya mtu kuambukizwa? Wajuzi na wataalamu njoo mtujuze!

Kwa mtu anaetumia dawa za ARV kwa ufasaha, akipima kipimo kinaonesha Negative pia.
 
Hizi vipimo(SD bioline) ni antibody tests, so ni mpaka mwili urespond kwa antigen ( yani HIV) ndo kipimo kiweze kudetect virus, so antibodies kutengenezwa inategemea na immunity ya mtu , kuna wanaorespond mapema na wanaochelewa , ndio maana hata ukipimwa ukimwi leo inabidi upime tena after 3 months, ndo mda ambao ata slow responders wanakua tayari washatengeneza antibodies.
Ila kwa kutumia PCR HIV unaweza kutambua the same day kwasababu inapima kirusi chenyewe.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
sahihi kabisa, japo muongozo wa upimaji retesting ni 1 month au 12 months kama hana risk. Isipokuwa kwa wajawazito
 
Ebu tusitishane unabeni aiseeeee....☹️
Tenami sitakagi uzembe kabisa kwenye mambo ya msingi...😕
 
Back
Top Bottom