Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna wimbi kubwa la watu wakitaka show mmoja wapo hudai tukapime kwanza. Sasa hata mkipimana kipimo kikaonyesha negative, ndo kusema mko wote salama kulana kavukavu?
Vipi kama muda mfupi kabla ya hapo mmoja wapo kaukwaa? Vipi labda juzi au jana mmoja wenu kakanyaga mawaya? Hivi vipimo mnaviaminije?
Uaminifu wa hivi vipimo vinaweza kuonyesha usahihi wa HIV baada ya muda gani baada ya mtu kuambukizwa? Wajuzi na wataalamu njoo mtujuze!